Telenovela Paroles

CEDO Feat KIDUM & BENSOUL Kenya | Afro-soul,

Paroles de Telenovela


Ona wamefanikiwa 
Kututengansiha mimi na wewe heh
Yote uliyoambiwa 
Yamekupotosha mpaka sasa hunipendi

Jua langu limepotea
Naona giza ingawa mchana ah
Ukiwa mbali sijazoea
My sweety Stella mah nataka urudi home

[Bridge]
Mapenzi ya holeholela
Nimechorea
Nipe chansi nirudi kwako
Tukiwatch telenovela 
Zinanichocha natamani urudi home

[Chorus]
Mwoyoni mwako we
Mikononi mwako eh eh
Moyoni mwako we nifungulie roho 

Mwoyoni mwako we
Mikononi mwako eh eh
Moyoni mwako we nifungulie roho

Moyoni mwako we nifungulie roho
Moyoni mwako we nifungulie roho  

Mbonaaa hukutosheka
Kila ulipewa ulisema ni kidoogo
While I gave you all I had
Ndio maana sielewi 
Mbona you’re leaving me alone

Nimejaribu kukuelezea
Kila unasema nasema tu uongo
Aloniroga naomba tuongee sasa
My sweety stella mah Nataka urudi home

[Bridge]
Mapenzi ya holeholela
Nimechorea
Nipe chansi nirudi kwako
Tukiwatch telenovela 
Zinanichocha natamani urudi home

[Chorus]
Mwoyoni mwako we
Mikononi mwako eh eh
Moyoni mwako we nifungulie roho 

Mwoyoni mwako we
Mikononi mwako eh eh
Moyoni mwako we nifungulie roho

Moyoni mwako we nifungulie roho
Moyoni mwako we nifungulie roho 

Laisser un commentaire