Paroles de Naomba
Paroles de Naomba Par GUARDIAN ANGEL
Naomba kutembea na wewe
Naomba kutembea na wewe
Milele step by step nitembee nawe
Milele day by day nitembee na wewe
Nitembee vipi bila wewe bwana
Nitaenda wapi bila wewe bwana
Majaribu yamejaa
Na maadui wanataka nianguke mimi
Nakutegemea wewe, unionyeshe njia bwana
Bila we nitapotea mimi, Yesu
Nakutegemea wewe, unionyeshe njia bwana
Bila we nitapotea mimi, Yesu
Naomba kutembea na wewe
Naomba kutembea na wewe
Milele step by step nitembee nawe
Milele day by day nitembee na wewe
Nataka kutembea na wewe
Milele, -- haki milele
Wacha maadui wazidi kupiga kelele
Ahadi zako bado ni zile zile
By my side watch you by my side
In your might God in your sight
Put -- for those who wan to fight nawe
Nitembee nawe
Naomba kutembea na wewe
Naomba kutembea na wewe
Milele step by step nitembee nawe
Milele day by day nitembee na wewe
Nakutegemea wewe, unionyeshe njia bwana
Bila we nitapotea mimi, Yesu
Nakutegemea wewe, unionyeshe njia bwana
Bila we nitapotea mimi, Yesu
Naomba kutembea na wewe
Naomba kutembea na wewe
Milele step by step nitembee nawe
Milele day by day nitembee na wewe
Naomba kutembea na wewe
Naomba kutembea na wewe
Milele step by step nitembee nawe
Milele day by day nitembee na wewe
Ecouter
A Propos de "Naomba "
Plus de Lyrics de GUARDIAN ANGEL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl