Tunawaka Lyrics
Tunawaka Lyrics by DJ SEVEN
As you know tunawaka
Na madem wakali tunachapa
Kuna Hennessy kuna bapa
Na tuna elimu hadi tunawaka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, tunawaka
Manyangema tumetimba yechu yechu
Nataka Wema umenitongozea Sepetu
Hatuna habari tuko tunafanya yetu
Mdogo mdogo tunamvua shetani wetu
Kama tuko kwa Madiba tunafuatisha misiba
Ukitugusa ni miiba wanataka kuwa midiba
Oooh no no no, nipeni hizo shikamoo
Money money I want more, siwezi kushiba minyoo
Sipangiwi nafanya nachopenda
Nanukisha mtaani kama chemba
Maisha yangu yanatoa udenda
Mtoto wa laini laini kama mrenda
Nasema club nina bonge la spark
Nnje wanashikana mashati
Nnje pande zote kama samaki
Oooh yeah wanatahamaki
Wananisaka ila hawanipati
Kila mwezi tuna bonge la party
Kwema duniani kuchat, usije na gwanda za khaki
As you know tunawaka
Na madem wakali tunachapa
Kuna Hennessy kuna bapa
Na tuna elimu hadi tunawaka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, tunawaka
No fake songs got my friends with me
Mi mtoto wa town sijavamia mjini
We mshamba utaniambia nini
Got 99 problems na ninaboo na siachi kuboo
Wenzako hatuwateki tunakimbizana
Ukiona mishe hazieleweki tunajichanganya
Tukipata tunaweka tunavikusanya
Tunarusha juu - vimaana
Hatuna shida ring ring right now
Cheki chains bring bring right now
Uyu mwezi like main queens right now
We bishoo mi namake shillings right now
Tunashow love tupo nayo roho safi you know
Talking bills hapo sawa tunamwaga wino
Ukituona na bunduki tushawaka vindo
Huko kwote tunawaka tunazimia kinoo
As you know tunawaka
Na madem wakali tunachapa
Kuna Hennessy kuna bapa
Na tuna elimu hadi tunawaka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, waka waka waka
Tunawaka, tunawaka
Watch Video
About Tunawaka
More DJ SEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl