Unanijali by DANNY GIFT Lyrics

Sasa simple kwema
Kwa hii single natema
Kila jimbo napenya
Na huu mtindo ndo kusema

Mungu ananipeleka na rada(Na rada)
Namsifu wazi si kwa faragha(Faragha)
Mungu ananipeleka na rada(Na rada)
Namsifu wazi si kwa faragha

Unanijali, sa kwa nini nisideke
Chali chali, sina wasi wee
Nasema woi, mapepo yanakimbia kimbia
Yakimwona Yesu yanakimbia wooiii

Mapepo yanakimbia kimbia
Yakimwona Yesu yanakimbia
Mapepo yanakimbia kimbia 
Yakimwona Yesu yanakimbia wooiii

Mapepo yanakimbia kimbia
Yakimwona Yesu yana

Fire! Huduma kalongolongo
Fire! Na wasanii wote kuiga Bongo
Fire! Hizo stori za uwongo
Fire! Nia yao ni kutoka na uhondo

Fire! Huduma kalongolongo
Fire! Na wasanii wote kuiga Bongo
Fire! Hizo stori za uwongo
Fire! Nia yao ni kutoka na uhondo

Maisha yangu nagarura
Mashida kwangu swala mboga
Na bado tunazidi songa
Kimoja ka masai na njora

Ahmm laleiyo, mimi napenda Yesu...

Unanijali, sa kwa nini nisideke
Chali chali, sina wasi wee
Nasema woi, mapepo yanakimbia kimbia
Yakimwona Yesu yanakimbia wooiii

Mapepo yanakimbia kimbia
Yakimwona Yesu yanakimbia
Mapepo yanakimbia kimbia 
Yakimwona Yesu yanakimbia wooiii

Mapepo yanakimbia kimbia
Yakimwona Yesu yana

Fire! Huduma kalongolongo
Fire! Na wasanii wote kuiga Bongo
Fire! Hizo stori za uwongo
Fire! Nia yao ni kutoka na uhondo

Fire! Huduma kalongolongo
Fire! Na wasanii wote kuiga Bongo
Fire! Hizo stori za uwongo
Fire! Nia yao ni kutoka na uhondo

Ahmm laleiyo, mimi napenda Yesu...

Fire! Huduma kalongolongo
Fire! Na wasanii wote kuiga Bongo
Fire! Hizo stori za uwongo
Fire! Nia yao ni kutoka na uhondo

Fire! Huduma kalongolongo
Fire! Na wasanii wote kuiga Bongo
Fire! Hizo stori za uwongo
Fire! Nia yao ni kutoka na uhondo

Music Video
About this Song
Album : Unanijali (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Feb 06,2020
More Lyrics By DANNY GIFT
Comments ( 0 )
No Comments
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics