Neno Lako Lyrics by DANNY GIFT

Ukitenda nani wakupinga
Hakuna (hakuna) hakuna
Na ukisema ndio
Nani awezaye sema hapana
Hakuna (ooh hakuna), hakuna
Na unyoshapo mkono wako
Baba kwa nguvu wewe unafanya
Tena kwa nguvu bwana washangaza
Eeh iyee iiih

Neno Lako, litasimama (litasimama)
Litasimama, Halita pita (halitapita)
Ufanyapo baba hakuna
Wakupingana Wala wakupingana
We ni Bwana (aaaah aah aaah..)
We ni Bwanaa (aaaah)
We ni Bwana (aaah aaaah)
We ni Bwana (aah aah)

Tangu ujana wangu uanze
Sijawahi ona Wewe ukishindwa
Haushindwi (haushindwi) haushindwi
Hakuna jambo ngumu kwako
Unaweza yote mwenye nguvu
Haushindwi (Haushindwi)
Haushindwi
Majira huja na kupita
Sijawahi ona wewe ukikwama
Unaweza yote bwana washangaza
Eeeeh... Majira huja na kupita
Si jawahi ona wewe ukikwama
Unaweza yote bwana washangaza
Eeeh...

Neno Lako litasimama
Litasimama, halita pita
Ufanyapo baba hakuna
Wakupingana
Wala wakupingana
We ni Bwana (aaaah aah..)
We ni Bwanaa (aaaah)
We ni Bwana (aaah aaaah)
We ni Bwana (aah aah)
Milele na milele we ni Bwana (aaah)

Bwana unatawala milele yote

Unatawala (Unatawala)
Unatawala (Unatawala)
Milele na milele
Unatawala, Milele
Unatawala (Unatawala)
Hakuna kama Wewe
Unatawala (Unatawala)
Unatawala , Milele
Unatawala (Unatawala)
Unatawala, Unatawala
Milele
Unatawala (Unatawala mfalme)
Unatawala (mfalme)
Unatawala, Milele

Neno Lako litasimama
Litasimama, halita pita
Ufanyapo baba hakuna
Wakupingana
Wala wakupingana
We ni Bwana (aaaah aah..)
We ni Bwanaa (uuuh)
We ni Bwana (aaah aaaah)
We ni Bwana (aah aah)

 

Music Video
About this Song
Album : Neno Lako ,
Release Year : 2020
Added By: Afrika Lyrics
Published: May 03 , 2020
More Lyrics By DANNY GIFT
Comments ( 0 )
No Comment yet