WILLY PAUL Kwa Vile cover image

Kwa Vile Lyrics

Kwa Vile Lyrics by WILLY PAUL


Eh, Willy Paul, Willy Paul,
Saint Pizzy Baby,

Kwa Vile Umenipenda Mola, Wo Wo Wo,
Kwa Vile Umenitunza Papa, Woooo,
Kwa Vile Umenipenda, Kwa Vile Umenitunza,
Kwa Vile Umenipenda, Ah, Ah, Ah,

Nakamilisha Zangu Ndoto, Nitacheza Kidogo,
Ibilisi Analeta Mdomo, Namwonyesha Kisogo,
Ananena Willy No, Mie Nanena Willy Yes Oh,
Ananena Willy No, Mie Nanena Willy Yes Oh,
Lord, Lord, Lord, Lord, Lord, You're Always On My Mind,
Always On My Mind,
Nitacheza Kidogo, Nitaruka ruka Kidogo,
Nitacheza Kidogo, Niserebuka Kidogo, Ah,

Cheza Sari Sari,
Cheza Furi Furi,
Cheza Tu Hivi, Tu Hivi,
Msela Cheza Ni Kiduku,
Cheza Ni Kiduku,
Cheza Ni Kiduku,
Cheza Ni Kiduku,
Kwa Jalali Ni Kiduku,
Serebuka, Aserebuka, Aserebuka, Serebuka, Serebuka,
Serebuk, Aserebuka, Aserebuka, Serebuka, Serebuka, Ah, Ah, Ah,
Aserebuka, Aserebuka, Asere, Serebuka

Wapi Wameo Onja Upendo Wake Ruka Kidogo,
Kama Umeonja Upako Wako Ruka Kidogo,
Pause... Leggo,
Wamama Ndombolo Ah Eh,
Watoto Ndombolo, Ah Eh,
Mwenyezi Ndombolo Ah Eh,
Tucheze Ndombolo Ah Eh,
Wamama Ndombolo Ah Eh,
Mwenyezi Ndombolo Ah Eh

Watch Video

About Kwa Vile

Album : Kwa Vile (Single)
Release Year : 2014
Copyright : ©2014
Added By :
Published : Feb 12 , 2020

More WILLY PAUL Lyrics

WILLY PAUL
WILLY PAUL
WILLY PAUL
You
WILLY PAUL

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl