Society Pressure Lyrics
...
Society Pressure Lyrics by WILLY PAUL
Mapenzi ime poteza meaning
Kwa bei nafuu napata quicky
Mapenzi ime poteza meaning
Hata maboy wanapigwa miti
Pressure pressure
Za social media
Pressure pressure pressure
Pressure pressure pressure
Za social media
Pressure pressure pressure pressure
In this society majaliwa
Uki kaa mbaya
Uta kuliwa
In this society kuna wenye villa
Wata kugongea tu
Kwa hizo villa (pozee)
Ata liwa, ata liwa
Ata liwa na hata sema
Ata laliwa, laliwa
Laliwa na hutawai jua
In this society kume aribika
Vitu watu wana du
Kwa party wapate bima
In this society kume jaa ma kuma nina
Ukitaka kazi lazma boss
Ata ku ninia
In this society degree doesn’t matter
Bazu abeg nina degree ya mercy
Uki mpa boss salary increase
Uki mnyima boss salary decrease
Pressure pressure
Za social media
Pressure pressure pressure
Pressure pressure pressure
Za social media
Pressure pressure pressure pressure
Pressure pressure
Pressure ya nini
Najitesa tesa ya nini
Pressure pressure pressure nii
Ana kuitisha don julio
Naye hukunywa chrome na mimi
Usi ni boo
Hutai ku steady ukiwa broke
Si kila pedy hukua na doo
Ka wee ni ngombe usikae na goat
Million huanza na bob
Zile viper tume dodge
Nilikua willing kuona paul
Kila mchoro huanza na dot
Naongaza skari mingi waulize ju sky in the limit
Ilibidi aonyeshe ndio apatiwe degree
Si maanishi cheeby nikisema nilishika mili
Ile pressure kubwa niko nayo ina toka ig
Kuna pressure mingi
Inatanya nina chizi mimi
Naskia pressure mingi
Ndio ina tengeneza dia nini
Pressure pressure pressure pressure
Pressure pressure pressure pressure
Watch Video
About Society Pressure
More WILLY PAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl