
Inabamba Lyrics
...
Inabamba Lyrics by WILLY PAUL
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Tuliza moyo wangu baby
Tuliza nafsi yangu kweli
Twaache jua na mwezi vyote vitumulike
Tuenjoy mapenzi kileleni tufike
Mpenzii bila wewe nitaugua
Naenjoy mapenzi yako, mizigo nishaitua
Daddy fine, anavyoshine o body fine body fire gwanzo
Toto fine kanavyo wine o, body fine
Body fire gwanzo
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mbele mimi sioni, mimi na wewe baby
Love you on a daily, light every morning
Ooh baby, love you on a daily
Pokea yako maua, for you nitaua yangu roho
I swear, you are my only lady
Utakuja niua kwa yako mahaba yangu roho
I swear you are my only lady
Ona mapenzi yetu inavyo bamba
Wasishandane nasi watapata pressure
Inabamba kama ya Michelle na Obama
Wasishindane nasi watapata pressure
Daddy fine, anavyoshine o body fine body fire gwanzo
Toto fine kanavyo wine o, body fine
Body fire gwanzo
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Mapenzi yetu ndio inabamba
Hii ndio inabamba
Unipindue unicharaze kwa mapenzi
Univuruge, unicharaze kwa mapenzi
Ooh baby we niuwe unicharaze kwa mapenzi
Watch Video
About Inabamba
More WILLY PAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl