
Keki Lyrics
...
Keki Lyrics by WILLY PAUL
Kwa mapenzi nimeoga mama
Ona mwili wangu unavyo waka waka baby
Kwa mapenzi umeniweza
Ona mwili wangu unavyo tetemeka baby
Usiulize kwanini na zubaa kwa mapenzi
Inarun dunia haya
Mapenzi imepandisha speedometer mummy
Imepandisha haiya
Pengine baby me sioni umenishika mateka
Kadogo lie lie lie
Pengine me sina maoni yaani moyo ushapenda
Kadogo lie lie lie
Sherry kwa penzi lako natokwa wazimu
Kila unaponipa mama naguna kama bubu
Baby coz of you
Aah mama keki keki
Wewe mtamu kama keki keki
Aah unavyoseti keki
Tam tam kama keki (keki)
Aah mama keki keki
Kwangu baby nakumeddy (keki)
Napenda vile unaseti (keki)
Wewe mtamu kama keki (keki)
Usiku joto tu hee
Hata sitaki blanketi (keki)
Unipe kwa fujo tu hee
Napenda unavyoseti (keki)
Kupa kupa kupa
Mtoto wa Diana amefall in love kama chizi kama chizi
Kushoto kulia ni wewe napenda my lady
Tangu nimekupata mwenzangu Kila siku na labata baby
Daily nakufwata ingawa najua wengi wanakutaka baby
Tangu nimekupata mwenzangu kila siku na labata baby
Daily nakufwata ingawa najua wengi wanakutaka baby
Aah mama keki (keki)
Wewe mtamu kama keki (keki)
Aah unavyo useti (keki)
Tam tam kama keki (keki)
Aah mama keki keki
Kwangu baby nakumeddy (keki)
Napenda vile unaseti
Wewe mtamu kama keki
Usiku joto tu hee
Hata sitaki blanketi (keki)
Unipe kwa fujo tu hee
Napenda unavyo seti (keki)
Watch Video
About Keki
More WILLY PAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl