Kichwa Tu Lyrics
Kichwa Tu Lyrics by IPHOOLISH
Niko thirsty kazi kuwakunywa tu
Me hucome first sdai kuwa number two
Story za uduu ni ka story za voodoo
Piga kanuthu utampigisha nduru
Na kichwa tu
Kichwa tu, Kichwa tu, Kichwa tu
Come ivi kejani nikuonje
Tukivuta majani nkuvamie hadi upone
Nikupatie maheadi vidole si hadi ushonwe
Wachana na mapombe sigara na udonwe
Anapenda bolingo mbayaya
Alicheki mchuda akagwayaya
Akapigwa chuma akazirai walai
Booyaka Booyaka kukafinese na gwai
Ting a ling a ling school bell a ring
Watoi wa shule zii siwapei kamiti Yaani
Ting a ling a ling school bell a ring
Watoi wa shuke zii siwapei kamiti
Niko thirsty kazi kuwakunywa tu
Me hucome first sdai kuwa number two
Story za uduu ni ka story za voodoo
Piga kanuthu utampigisha nduru
Na kichwa tu
Kichwa tu, Kichwa tu, Kichwa tu
[Cookie]
Eeeiiii Eeii ahhh hmm
Kichwa tu, ah miguu pale juu
Tukitoka hapa tu ni baby boo
Siunajua tu ni nani pale mtaani
Ile vako nadai ni ilale ndani
Tupige tu manduru tukiwa tu manuthu
Sisi wote ni mauru unaeza leta rungu
Nadai pipe ikue tu hapo ndani
Umeseti nimebaki na laani
Baby Una Mali safi yaani
Honey kuja lamba asali
Cookie bitch me ni number one
Venye nimecome utasema what a gwan
Niko thirsty kazi kuwakunywa tu
Me hucome first sdai kuwa number two
Story za uduu ni ka story za voodoo
Piga kanuthu utampigisha nduru
Na kichwa tu
Kichwa tu, Kichwa tu, Kichwa tu
[Sam C]
Kichwa tu, alidai kichwa nikazama na miguu
Dem ako kutu amekunywa Malibu
Huku tu eastlando hawacheki na udo
Weka pori poa usitokwe toko juu
Hawa madem wanamangana
Wakipekejeng wanalambana
Hakuna siri ni rungu sana
Hawana haya mjulus bana
Yes bana
Kuja nikutie tu vijiti Uskie fiti
Tena niko wima ukiliki hiyo miti
Hakuna kupima juu pongis iko fitting
Gonga kitu fiti
Niko thirsty kazi kuwakunywa tu
Me hucome first sdai kuwa number two
Story za uduu ni ka story za voodoo
Piga kanuthu utampigisha nduru
Na kichwa tu
Kichwa tu, Kichwa tu, Kichwa tu
Watch Video
About Kichwa Tu
More IPHOOLISH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl