WILLY PAUL Kanyagaa cover image

Kanyagaa Lyrics

Kanyagaa Lyrics by WILLY PAUL


Mda una yoyoma
Ngozi inabadilika
Nami nishampata wangu wa maisha
Oooh mda una yoyomaaa uuuh aaah

Mpenzi ya watu yasifanye tuachane
My darling usiniache
Wakibonga shut up and call my number
Nambie unanipenda wasikie tunavopenda milele daima aaah
Sijui kama unapenda goodbye mi sipendi
Sijui kama unapenda goodbye mi sipendi
Mimi sipendi ata kukumiss
Napenda tu kukukiss
Nitakuwa nawe ata wakidiss
Coz you're my princess

It's only you that I think of
You that I dream of
No other person oooh

Baby we kanyangaa kamati ya roho chafu we kanyagaa
Fitima mikosi we kanyagaa kanyagaa mama
Wanaongoja tuachane we kanyagaa
Wanao omba mabaya we kanyagaa
Wanao kesha kwa waganga we kanyagaa
Kanyagaa mama

Pacha wangu baby baby doli twende kwenye majiji boti
Twende tukaogele waone mama
Mgongo unikumbate wacha waone mama
Nipige busu kwa fitina wacha waone mama
Inawachoma baby choma sana inawachoma sheri mapenzi

It's only you that I think of ooh
You that I dream of  ooh
No other person ooh

Baby we kanyangaa kamati ya roho chafu we kanyagaa
Fitima mikosi we kanyagaa kanyagaa mama
Wanaongoja tuachane we kanyagaa
Wanao omba mabaya we kanyagaa
Wanao kesha kwa waganga we kanyagaa
Kanyagaa mama

You and I will live forever
You and I will live forever aaaah
You and I will live forever
You and I will live forever aaaah
Tutaishi wawili forever na wenye wivu wameze wembe
Tutaishi wawili forever na wenye wivu wameze wembe

Watch Video

About Kanyagaa

Album : Kanyagaa (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jun 23 , 2023

More WILLY PAUL Lyrics

WILLY PAUL
WILLY PAUL
WILLY PAUL
You
WILLY PAUL

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl