Mbona Lyrics by BOUTROSS

Aye Ceezy pass me the lighter
Yoh Ceezy pass me the lighter

Mi huingia base naitinga Geri haijali makali  mapinga
Ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa
Nilipatwa Niki..aaah aye aye yeah yeah
Yeah yeah yeah

Mi huingia base naitinga Geri haijali makali mapinga
Ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa
Nilipatwa nikiseti nikashikwa nikauliza mambang'a mnadai mapinga
We ulikuwa wa kwanza kunitoka sai unateta ati bouti anaringa
Mi nimelelewa jiji tangu enzi za maboro na fila
Kukuwa mauru lazima tangu niingiage na braids Mbicha
Hata wahenga walinena bado walidedi na stori ikaskika
So ata ukichotwa na dinga onyesha hiyo ndole ukizima (haa)

Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi band
Mbona you mad? Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda cat  na unajua unadaingi bang (aye aye)

Mbona sitense mbona nipate maganji nisiflex
Mbona ni yengs hufanya maboy waingie kwa dent?
Mbona kairetu aliendaga na boy  wangu  mengo?
Mbona ni sare na nyi mko kwa keja na pool na Benz?
(Ha ha ) ka si midesh (ha) vile na (ah ah) barafu kwa neck
Shawty ni snake (ah) nakata the neck (ah)
Bouti the shrap god ikiwa na ceezy ni banger
Siku hizi the boys are faithful ukitry kuzoza mabooster  faithful  
Vile maboy wanabonga mi hucheka na team tukikula ndengu
Ju ya mahali nimetoka kurudi sidhani I'm able
So ukishika makali utanyongwa bouti anazidi kusonga
(Ha)

Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead,
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang
Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda cat  na unajua unadaingi bang

 

Music Video
About this Song
Album : 6ixviewsii8k (Album),
Release Year : 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: May 22 , 2020
More Lyrics By BOUTROSS
Comments ( 0 )
No Comment yet