ALIKIBA Mshumaa cover image

Mshumaa Lyrics

Mshumaa Lyrics by ALIKIBA


Alikiba - Mshumaa lyrics

Ule ugonjwa ulioniacha nao
Bado sijapona 
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote 
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako 
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo...
Nakumiss...

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako 
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo...
Nakumiss...iye iye

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Watch Video

About Mshumaa

Album : Mshumaa (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Kings Music Records
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 08 , 2019

More ALIKIBA Lyrics

ALIKIBA
ALIKIBA
ALIKIBA
ALIKIBA

Comments ( 3 )

.
Khadijah 2019-11-10 07:27:15

Audio and video sound great though I don’t really understand a thing. I would love to know what the song is all about, How can I get the English translation of the song?

.
3561 2020-03-01 20:01:52

Good music keep it up bro

.
3561 2020-03-09 06:22:58

Nice song really love it



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl