Weka Lyrics

DULLY SYKES Feat MARIOO Tanzanie | Bongo Flava,

Weka Lyrics


Kama ingekuwa kadanda we kagere
Kama mboga jegere
Kwenye ngoma za siwe segere
Tuda kama ndege tetere

I like the way unavyochumaga chendere
Unalifungaga kengele eeh
Kama kuku kaona mchele
Akili inanihama(hama)

Yaani kama mazinga ombwembwe(Hayo maajabu)
Hizo mbembwembe(Oyaa eeh)
Na ulivyodembede 
Mwenzako nateseka

Asa weka, weka weka, ahaa
Asa weka, weka weka ndani, ayaa
Asa weka, weka weka, ahaa
Asa weka, weka weka ndani, ayaa

Basi nipe hilo bam bam bam
Nipate kufarijika
Baby girl kam kam kam 
Nichome nimetajirika

I say baby what a gwan
I think you like it princess, you are my number one
Nakupenda kichizi tupo toka zamani
Ingawa tuko eazy kwa penzi la dhamani
Na tunaliweka busy kama kipanya na pan

What a bam bam
What a bam bam
What a bam bam
Bam bam bilon bam bam

Basi nipende mimi achana na kina nani
Kama unataka hii nikupinde namna hii
Kumbuka mi nazimika na bodi
Underwear mi nafungua na kodi

Asa weka, weka weka, ahaa
Asa weka, weka weka ndani, ayaa
Asa weka, weka weka, ahaa
Asa weka, weka weka ndani, ayaa

Ah me I say bingiri kubam bam(Chomeka)
Nachomeka pale kwa utam tam(Chomeka)
Palipo zidi maham ham(Chomeka)
Aliyekupa paku bam bam(Chomeka)

Eyaa weka, ahaa
Brr okey, hayaa

DULLY SYKES (7 lyrics)

Abdul Sykes, also known as Dully Sykes, Mr Misifa or Mr Chicks is a Tanzanian musician born on 4th December 1980. He is known as the founder of the bongo flava genre in Tanzania and is one of the pioneers of Swahili dancehall in the African Great Lakes region. He is widely known for hits...

Leave a Comment