Kamaliza Lyrics
Kamaliza Lyrics by HARMONIZE
Tito hii hapa sauti ya
Jemedari, kanali amri jeshi mkuu Konde Boy
Hallo wee, hallo tena..
Nasema mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile
Makalio ya kichina anajiona kamaliza
Na nywele za kuazima anajiona kamaliza
Na make-up za kuunga unga anajiona kamaliza
Mwenzenu Insta ana 10k anajiona kamaliza
Kisa kibabu kinamhonga anajiona kamaliza
Eti kisa kasoma ulaya anajiona kamaliza
Mwenzenu pesa kidogo anajiona kamaliza
Limama limemweka ndani anajiona kamaliza
Eti kisa ana sumu mpya anajiona kamaliza
Yeye kutwa yupo tungi anajiona kamaliza
Tena anajisifu ukitaniana wakimbiza
Eti kisa ana danga jipya anajiona kamaliza
Nasema mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya)
Mtoto wa nyumba ile
Nyumba ile, nyumba ile
Watoto wa banda, Zuu na kunasia
Kipengo hapa Amri Kuu jeshi
Konde boy
Mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
Nasema mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
Mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
Mama mama mama mama
Dj Tito piga magoma tuwarushe masela
Halo wee, hallo tena
Mwanangu Tito piga magoma tuwarushe majita
Ah fanya kama unasusa, we unasusa
Mpaka chini unagusa, we unagusa
Fanya kama unasusa, we unasusa
Mpaka chini unagusa, we unagusa
Eti kisa ye ndo kijumbe, anajiona kamaliza
Dada yenu kachumbiwa anajiona kamaliza
Eti kisa we sungusungu unajiona kamaliza
Eti kisa baba yake kiongozi anajiona kamaliza
Siku hizi anapanda ndege anajiona kamaliza
Zikiisha mto kahamu anajiona kamaliza (Tito yii)
Utasema hanifahamu anajiona kamaliza
Eti kisa amenizalia anajiona kamaliza
Na mwanenu amepata kazi anajiona kamaliza
Siku hizi masikani hatokei anajiona kamaliza
Na hata simu zangu hapokei anajiona kamaliza
Basi tena hoo babaa...
We mama, we dada
We mama nipe kidogo..
Basi we mchele wangu umekula
Mtama wangu umekula
Aiii mama nipe kidogo nichangamshe damu
Nipe kidogo nichangamshe
We tamu tamu, we tamu kama tamu
We mama tamu tamu, we tamu kama tamu
We mama tamu tamu, we tamu kama tamu
Basi tena nipe tena kama ulivyonipa jana
Ona ninavyo nipaga we mama naskia raha
Mwanangu tamu tamu, we tamu kama tamu
Umemuona chura, chura mtu mzima
Umemuona chura, chura mtu mzima
We nipe za utu uzima, utu uzima
We mama za utu uzima, utu uzima
We nipe za utu uzima, utu uzima
We mama za utu uzima, utu uzima
Basi nipe za mchanganyo, za mchanganyo
Haya mama za mchanganyo, we mchanganyo
Basi nipe za mchanganyo, za mchanganyo
We mama we za mchanganyo, za mchanganyo
Basi tena hallo wee, halo tena
Hatari hatari hatari lakini salama
Nakubaliana na we producer Kenny
Msalimie huyo Dj Tito
Wanangu wa Konde Gang
Nzuri hiyo.... (Eyoo Kenny)
Watch Video
About Kamaliza
More lyrics from High School album
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl