Mi Nawe Lyrics
Mi Nawe Lyrics by NEDY MUSIC
Kutiririka chozi mama
Kwangu haina maana
Umezidi visa sana
Nikuache we mpweke
Dharau, matusi usiku mchana
Chumbani unalalama
Furaha ndio hakuna
Waniacha niteseke
Kama ruhusa moyo kuumia
Kwangu ulivumilia aaah
Kipi mi nimekosa we uniumize
Ya ndani siri mi nilifumbia, Katu kutarajia,
Kando kuyasikia yangu mi na wewe
Nasimama kilinge linge
Sipigi moyo sichomi upinde
Mi sitaki kwangu uumie
You are my beiby
Nasimama kilinge linge
Sipigi moyo sichomi upinde
Mi sitaki kwangu uumie
You are my beiby
Kosa mama(nitabaki mi na we)
Sitakutukana (nitabaki mi na we)
Hatutagombana(nitabaki mi na we)
Mi na we(nitabaki mi na we)
Kosa mama(nitabaki mi na we)
Sitokutukana (nitabaki mi na we)
Hatutagombana(nitabaki mi na we)
Mi na we(nitabaki mi na we)
Milango yote nishaifunga
Kwako mi nishatia nanga
Hata upepo wa kibunga
Mi na we
Sitateteresha huba
We matanga mi msiba
Penzi ndio litashiba
Milele
Silaumu moyo kukupenda
Mola alishapanga penzi mi na we
Nashinda kutwaa mi nikiomba
Pendo usijevunja, tofauti kwetu wee
Nasimama kilinge linge
Sipigi moyo sichomi upinde
Mi sitaki kwangu uumie
You are my beiby
Nasimama kilinge linge
Sipigi moyo sichomi upinde
Mi sitaki kwangu uumie
You are my beiby
Kosa mama(nitabaki mi na we)
Sitakutukana (nitabaki mi na we)
Hatutagombana(nitabaki mi na we)
Mi na we(nitabaki mi na we)
Kosa mama(nitabaki mi na we)
Sitakutukana (nitabaki mi na we)
Hatutagombana(nitabaki mi na we)
Mi na we(nitabaki mi na we)
Mi na we, mi na we
Nitaenda kote ntabaki na we
Mi na we, mi na we
Nitaenda kote ntabaki na we
Iyo mama
Mi na we, mi na we
Nitaenda kote ntabaki na we
Mi na we, mi na we
Nitaenda kote ntabaki na we
Watch Video
About Mi Nawe
More NEDY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl