Mdomo Lyrics
Mdomo Lyrics by HARMONIZE
Hahaha Jeshi
I got the sound crazy
Chinga!
I wanna sing for my lady oh
My sexy lady
Wanaokesha wakiona tuachane
Wanaupaka rangi upepo
Ufe nikuzike tuzikane
Kesho tukakutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane
Kisha tuzidi cha tempo
Ila sita saba na nane
Hata kumi singekuwepo
Tena unavyonisuza hujikwezi
Sio wa kulala buza ushinde Bezi
Yaani unawaburuza hawakuwezi
Umeniteka mama aah
Watoto wa Mombasa huko Kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umemenya
Mpaka tembo hapinduki
Akina Carry Mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na uliza na sifa unanipa tena
Yaani mpaka asubuhi
Kifupi umeniziba
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Yaani baby umeniziba
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Oh baby me I don't really understand
Nahisi kama umenifanyia limbwata
Ila ndo mapenzi sishangai
My lady I don't want a night stand
Mi kwako chizi nishadata
Nishakupenda akili haidai
Maana unanipa mawenge, wengenge
Mala bichwa mara mbwe, mbwengenge
Kajaji mna kite, kitengenge
Ili mradi uchokozi oh nah nah nah
Naacha anatazama mbingu
Na mikono nishamfunga na pingu
Hii baridi huko nnje kuna wingu
Mi namwa-namwagaga machozi
Watoto wa Mombasa huko Kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umemenya
Mpaka tembo hapinduki
Akina Carry Mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na uliza na sifa unanipa tena
Yaani mpaka asubuhi
Kifupi umeniziba
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Yaani baby umeniziba
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Ibraah nataka niteleze kweupe
Nikitapika nifute (Hana baya)
Ananifanya nisijitu (Hana baya)
She say chumbani nikukute
Nyonga ganja mbili tuvute
Hilo vumbi la konga uikute
Hana baya, hana
Konde boy call me number one
Chinga yes number one, number one
Watch Video
About Mdomo
More lyrics from High School album
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl