Relax Lyrics
Relax Lyrics by DARASSA
(Abbah)
Wazee msilale mchaka mchaka
Kimbiza dunia haina mipaka
Ukiweka nia kuna njia utapata
Kama unasubiria hakuna matata
Mama hajalea maproso, No
Kazaa soldier Commando
Na siku hizi heshima sio shikamoo, ooh
Time money, I gotta go
Sometimes, vitu zinakaza unakomaa
We utalala, hauwezi ukailaza masaa
Unaleta utani?
Okey(okey)
Oh nah nah nah nah
Jifanye kichaa, zua mabalaa
Zagaa zagaa, simama kaa
Bang! Unaenda wapi? Give it up eey
Umepanick? Relax
Pumzika kwenye kiti
Ikibidi pata drinks, relax
Umepanick eeeh? Relax
This is not what you think
Shughuli bado mbichi
Relax
Unalewa fasta
Mi ndio kwanza napata starter
Mezani kwasa kwasa
Sukuma kanyaga twende
Rudi ata kwa puncture
Mdomo haulipiwi ukasema lolote
Uongo hauna guarantee ya kufika popote
Kitenisi hakidundi kwenye matope
Usivae kinyago, vaa swagga unaweza niogope
Sinaga habari za kijinga
Akili mali ukichimba
Sitafuti Zari la kuvimba
Nachonga nachimba
Umetaka mwenyewe
Usipige kelele unapokuwa unawinda
Kaa mbele unanijua tinga tinga
Nishapigana vita nyingi nimeshinda
Umepanick? Relax
Pumzika kwenye kiti
Ikibidi pata drinks, relax
Umepanick eeeh? Relax
This is not what you think
Shughuli bado mbichi
Relax
Watch Video
About Relax
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl