Najishuku Lyrics by ADRIAN LOCI


Endelea kuota usikufe moyo
Endelea kuomba usikate roho
Endelea kusonga usigande no no
Nahemea umoja wa roho yangu na ubongo
Ni Najishuku tena kwa sana
Akili hailali 
Japo nafanya kazi kwa bidii
Kwanini sasa na kazana kaza kazana
Najishuku

Nikona dream ya kutembea kwa pinnacle ni ka ni kwangu
Na intention ya kushare juice na less fortunate, design yangu
Ifikie God I swear juu huku nje Mauano 
Ndoto zangu zisipotee nikiwa hai 
Acha nidedi moyo ukiwa strong ingawa ni hectic
DOA mi nadai tukuwe na vision si wakenya wengi,
Waliokosa kazi kavunjika moyo sahii baadhi 
Yetu ni gone case DJ evolve kitandani anaamka lini 
Hapa nacall for justice

Siku za giza zikai kuisha juu
Mi nikitafuta yangu mnapea wezi badge na bunde 
Law and order inaingilia wapi kama nagawa shopping
Mtaani vitu ni the same it’s just a different day
Rest in peace Brayo Compton na Lil Binore

Should have been different how events ziliunfold tenee 
From utawala mi ntamake sure maboys wamedishi ndo
Usiwagonge na hizo peanuts wakupe kiti
Tumejishuku sana juu kwenyu si hukuwa inferior 
What if tuscrap girl child tuskume youths in general
Naongelea vitu zi huniaffect directly growing up in Nairobi
Nimejishuku long time but sahii naongelea mbogi
Miezi tatu sijalipa nyumba juu tumekua lockdown 

While kuafford unga ni tricks campaign ni pesa ya msaada 
Nairobi tisa ni daily living usivae nguo ina collar unakaa mafuta
Meanwhile tutavutana before kusonga pamoja 
So kila siku najitest na, najipea motisha 
Kuwa na tabia njema for the little kids Inshallah wanaoniona 
Natumai wataniskiza 
Jitafute sana usijiuze ukitushika 
Mtu asikubadilishe agenda
We ni King in the making
So keep on walking and watch your steps every second 
Shikilia juu time inasonga why lie
Before you know it the gates are open for you bye bye

Endelea kuota usikufe moyo
Endelea kuomba usikate roho
Endelea kusonga usigande no no
Nahemea umoja wa roho yangu na ubongo
Ni kwanini Najishuku tena kwa sana
Akili hailali 
Japo nafanya kazi kwa bidii
Kwanini sasa na kazana kaza kazana
Najishuku

Najishuku ni paranoia juu nko kinduku
Akina Uhuru sai mnazoza jo lakini haidhuru
Si tuko mukuru daily hatulali juu ya manduru
Walinyonga mukuro wale wale me uitanga ndungu

Niko wera kwa mhindi kwanzia ngware mpaka usiku
Ushaidu kitu ya ufala sana juu ya kakitu
Hakuna difu watoi wetu jo wanagrow hafifu
Wafunze kuona through na kujidefend ki master shifu.

Bado mayut wana idolize wanasiasa
Kuna mafools walimarry ikus wengine sianda
Big up kwa mambus wote wenye wanaeza eka masons
Juu nakumbuka matha hakuna ata siku moja ashawai lia njaa

Sai nalia Jah amake sure ametoa vijana kwa slums
Serious work wazazi wetu wanajuanga si urap
Siko strapped, sjashika gun
Red Black na Green inue juu flag ya mother land

Nlikua Nkitumwa ndom na bro.. sai ni me nazikinda
Hakuna siku nshawai perform.. kama bado hawajanlipa
Toa izo ngoma zinaboo,, sai ni me ndo naimba
Naskia wana copy my Flow.. wengine wanaiiba

Me nna talent.. Endeni muambie magate keeper wasikaze
Very soon inaeza jipa,
ManADriller me na arif hatujuangi ukabila 
Na kila idhaa nina refer kwa finger usiniulize ni ya

Un-armed and on my knees tu kumuonyesha nimetii
Hakubelieve police ali insist to kill.
Ni ka alimistake kati kati jo ya mnisa na thief
As if hawajui madingo origi wako kwa church na seats

Endelea kuota usikufe moyo
Endelea kuomba usikate roho
Endelea kusonga usigande no no
Nahemea umoja wa roho yangu na ubongo
Ni Najishuku tena kwa sana
Akili hailali 
Japo nafanya kazi kwa bidii
Kwanini sasa na kazana kaza kazana
Najishuku

Watch Video

About Najishuku

Album : Freewill (Album)
Release Year : 2021
Copyright : © 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 20 , 2021

More lyrics from Freewill album

More ADRIAN LOCI Lyrics

ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl