Zaidi Yao Lyrics
Zaidi Yao Lyrics by ADRIAN LOCI
(It's Trapkid Baby)
Kama mchwa ntakazana sana kadri ya uwezo nikuteke
Maana nakutaka sanaa
Nakupenda na roho yangu mama zaidi ntajikaza twende hepi
Mchana kutwa
Kuja nami, kaa hunitaki sema no no no no, nitaelewa
Sema nami, ka unanifeel nitakupa mojo jojo
I Love You, You only you (Only you)
And they want me, but its you only you
Napenda Zaidi Yao
Nakupenda sana nakuyanza
Na piano ntakuchezea kwa raha zako
Ntakufunza kunipenda
Hujui ni we napenda zaidi yao
Nakupenda sana nakuyanza
Na piano ntakuchezea kwa raha zako
Ntakufunza kunipenda
Hujui ni we napenda zaidi yao
Nakumbuka kamili mami I say, saa mbili ngware Thursday
Ndio kuget things in Order niache biz irun all day, kusaka dollar
Pale kwa movie, shortly ni light skin
Figure ni ya Slay Queen
Smile imetosha kusema Hello, ofcourse juu sura inaportray
So nadai nijue jina kwanza before kuuza movie na nilete juice
Ndo nijue atashika kaa nne, gladly niongeze ya tano ya bure
Ah! Najua mi nampendanga sana mi, humtuliza kabisa
Speed dial Loci bestie aniambie vile mi hukuwa bure kabisa
Ah... dakika tano ushaanza kucheka, ukicheka nacheka
And the Happiness feels alot like a blessing
Pupils getting wider looking at you, you and your beauty
I say would you come again baby, smiled and said yes
Leo nalala nikijifeel hata nafunga base
Flawless, flawless, flawless nakufuata mpaka base
Aint no brakes
I do basket Billing baby you gon’ be my NBA, Ulalah
Viherehere watabonga sana
Mi sijali sahii ni wewe tu nafikiria
I feel you’re my heaven and my hell yo
Coz I’ll do anything for you my Love yeah yeah
Kama mchwa ntakazana sana kadri ya uwezo nikuteke
Maana nakutaka sanaa
Nakupenda na roho yangu mama zaidi ntajikaza twende hepi
Tujivinjari Usiku kucha
Kuja nami, kaa hunitaki sema no no no no, nitaelewa
Sema nami, Ka unanifeel nitakupa mojo jojo
I Love You, You only you (Only you)
And they want me, but its you only you
Napenda Zaidi Yao
Watch Video
About Zaidi Yao
More lyrics from Freewill album
More ADRIAN LOCI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl