Mtaa Lyrics
Mtaa Lyrics by ADRIAN LOCI
Okay double tatu, double tatu ey
Mi na maboyz wangu wa mtaa yeah
Si hufreestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoh zitoke sai sai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia!
Mi na maboyz wangu wa mtaa yeah
Si hufreestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machings zifuate sai sai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia!
Money ndo motivation hapa nje
Toka mtaa a hell of a ninja
Nimeleta rungu kwa rap
Sitaki wajuniour shida nimerun out of rubbers
Huku mtaa si hulive by example
Pussy niggas huwaga tunasample
Cheza na mimi nakata kichwa
Nani anatesa nikate
Ka huleti keroma kwa meza usikae kudishi
Nahustle ni ka hamna kitu kwa dish
Lazima nistuck mabunda nifuate
Nivunje sheria haijalishi kitu
Hao makarao ndo mikono refu
Mwizi akapewa bunduki eti
Hadi kijana ashafika 18
Ashakuwa mwizi aisee
So mi najipanga lately
Naamkanga fiti nikimedi asubuhi Amen
Mbogi imeitana mi nitatokea quickly
Penye nia pana njia Amen
Mi hufinesse design ya odose baby
Ka ni chai nimebeba za mtaa
Mbona nikose pesa na ninaweza gamble
Zikikam nanunua hii mtaa, Loci
Mi na maboyz wangu wa mtaa yeah
Si hufreestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoh zitoke sai sai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia!
Mi na maboyz wangu wa mtaa yeah
Si hufreestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machings zifuate sai sai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia!
For real...
Mi na boys wangu tuko njaa
Hakuna choice babu nakuvaa
Unaforce sana unaburn
Mi and the whole army
Hii iko kwangu incase unakam
Yah yah
Nilidunga makafiri before nidungwe macuffling
Kibera nimevaa sling, mi tu ndo celeb Kenya naweza panda mat D
Addicted to hustling mi huwanga ngati keja siwekangi masti
Ngunga ndo huwanga marashi
Ndo waninotice nikiingia kwa basi
Nina boys ukipitia atakuwasha
Unavutishwa mabongo tukiskizia mashasha
Na usibonge ghasia takataka
Na mbona nikitokea wanaingia kwa vichaka
Si huvugana na nguvu za giza napiga umbu rungu
Ka una maswali uliza
Si humumunyanga wasupa ka daila
Anapigwa lugha anakuruka anarudi na mimba
Mi na maboyz wangu wa mtaa yeah
Si hufreestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoh zitoke sai sai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia!
Mi na maboyz wangu wa mtaa yeah
Si hufreestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machings zifuate sai sai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia!
Mi na boyz wangu double tatu
Tukifika mtaa watu wanafyatu
Buda unapenda kulia na uko baze unakaa tu
We buda tulia utapigwa ma 1, 2
Vile mi nakam thru' nafanya mi na undo
Vile mi naburn dope nazoza venye mi na undo
Wananiita Johndoe sipatikani kwa mitambo
Ni bady toka kitambo nawamadanga tu kama Rambo
And I hope mnanipata
Take your girl then I put her on a platter
Wacha vile mkisii nitaikata
Leo ni mimi na ma kaka
Ah nina magal na madawa
Nimekam nimekam na hii power
Nimekam na madoba kama kawa
Sawa hii verse nishainawa
Watch Video
About Mtaa
More lyrics from Freewill album
More ADRIAN LOCI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl