DOGO CHARLIE One Night Stand cover cover image

One Night Stand cover Lyrics

One Night Stand cover Lyrics by DOGO CHARLIE


Mi mama yangu sio daktari
Ama Diana wa Baha
Sikudanganyi my baby
Ju uongo ni mbaya

Hata kazi yangu mi ni ya sufuri
Sio ya kupata pesa
Usiniache my baby
Ukiniacha nitalia
 
I don’t believe I don’t believe
No money no love
Mbona nakupa moyo
Unaugawa vipande

Nimeumbwa na wivu mi ninawivu
Umenipa maumivu
Sikuwangi mchoyo
Usiniache uende

Aa kwenu nyumbani wanataka ng’ombe
Ole wangu mi masikini, ayee eh
Izo pesa nitazipataje
Nimekosa za nyumbani, ayee eh

Maisha ni mwenda pole
Leo kwa miguu kesho kwa gari, ayie eh
Mwenyezi Mungu tumwombe
Kesho yetu iwe afadhali

Baby all I need
Usiseme umenichoka
Mbona Mbona hauni understand

Kila kitu nikupee
Nami sijabarikiwa
Mbona Mbona hauni understand

Maisha ya kuteseka
Itakwisha na muda tu
Mbona Mbona Hauni understand
 
Yaani tukipata tule
Tukikosa mwenyezi atatupa
Mbona mbona hauni understand

Kila kukicha natafuta kazi za mjini
Ajira zimenikataa
Sielewi ni kwa nini

Kumbe kuna wazee wa manoti
Majirani kwa ploti
Ukienda kusaka ajira
Kwako ndo wanabisha hodi

Atadanganya ameenda Salon
Kumbe yuko Outing
Wenzako wanajibamba
Uko job unasaka money

I don’t believe I don’t believe
No money no love
Mbona nakupa moyo
Unaugawa vipande
 
Nimeumbwa na wivu mi ninawivu
Umenipa maumivu
Sikuwangi mchoyo
Usiniache uende

Aa kwenu nyumbani wanataka ng’ombe
Ole wangu mi masikini, ayee eh
Izo pesa nitazipataje
Nimekosa za nyumbani, ayee eh

Maisha ni mwenda pole
Leo kwa miguu kesho kwa gari, ayie eh
Mwenyezi Mungu tumwombe
Kesho yetu iwe afadhali

Baby all I need
Usiseme umenichoka
Mbona Mbona hauni understand
Kila kitu nikupee
Nami sijabarikiwa
Mbona Mbona hauni understand

Maisha ya kuteseka
Itakwisha na muda tu
Mbona Mbona Hauni understand

Yaani tukipata tule
Tukikosa mwenyezi atatupa
Mbona mbona hauni understand

Kumbe wewe ni kupe
Wewe ni kupe
Pesa za kupakwa makucha
Wewe ni kupe

Mara za kusukwa unataka
Wewe ni kupe
Kumbe unanicheza
Unaninyonya mdogo mdogo

Huwezi kosa kwa butcher
Wewe ni kupe
Mbona sa unanitesa
Wewe ni kupe
 
Nimekuogopa kabisa
Wewe ni kupe
Ebu nenda salama
Unaninyonya mdogo mdogo

Watch Video

About One Night Stand cover

Album : One Night Stand cover (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 06 , 2020

More DOGO CHARLIE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl