Uwezi Tu Do Lyrics by SAILORS


Uwuuuuu..! Uwuuuu...!
Kujeni muone tumeteka stalio
Wa sugarloan
Hii si kamisi baika yoh
Hii ni vibrator tunawatetemesha yoh
Uwuuuuu..! Oka!!! Yeah yeah

Brains zikimea kutu enda home mziki si wako
Kwa mziki si ndo otero enda tu chapia nyanyako
Na siwezi kuchapa ngumi izo ngumi nadishi bibi yako
Kipaji ni God kutupea tafta tafta tu ligi yako

Nasema ni Jah Jah 
Tafta tafta tu ligi yako
Nasema ni Jah Jah 
Tafta tafta tu ligi yako

[Chorus - Miracle Baby]
Na hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na auwezi tu do (Yeah)

Hauwezi tu do (Yeah )
Hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Hauwezi tu do (Yeah)

Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)

[Ssaru]
Tafta tu ligi yako mi sijai kuwa class yako
Mistari nimebeba na carton 
Ssaru anatesa unadhani ni vako
Cheki napata mapato alafu mungu akaniongeza matako

Chini niko na makwato mi nachafua alafu naroga na fashion
Kando niko na ka Passo shades nimedunga kwa macho
Kuja na mbogi ya kwako ju tunajua haujai kam peke yako
Kazi ni kuwapa dose ju tangu ijipe niko na mapose

Kwa keja niko na majos, na vile kameshika inabaki tudoz
Vile nilichorea balls already nacheki ata niko na goals
Si ata nataka mangeus ju siku hizi maniggas wanakata mahoes

[Shalkido]
Unateta unateta nini? Unateta nini?
Unacheka unacheka nini? Gai unacheka nini
Mi Shaki mnyama ni bomb, mi ni kibomb
Na mbleina ikinibomb mi nitakibomb

Sijai type ka mrasta
Na sitai katia mapacha
Na sitawai kuwa gangsta
Kisng'aing'a uwache umama
Wangapi wanapenda umama?
Wangapi wanapenda umama?
Wangapi wanapenda umama?
Wangapi wanapenda umama?

Nikapatana na dem kumbe ako kwa choo
Dem ako kwa choo, dem ako kwa choo
Kumbe ni mchina cheng cheng iyooo
Cheng cheng iyoo, cheng cheng iyoo

[Chorus - Miracle Baby]
Na hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na auwezi tu do (Yeah)

Hauwezi tu do (Yeah )
Hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Hauwezi tu do (Yeah)

Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)

[Masilver]
Njoo kwa mbulu nashine tangu nianze kutoa mabanger
Wale wasee walihate siku hizi wanataka niwape mabega
Hater siku hizi ni beggar sare Tbag siku hizi ni burger
Monkey nyonga na paka mi nakuosha then nakupaka

Venye kwa mouth unaropokwa hucheki venye ni awkward
Zogo unaokotwa hii si ndogo hii ni kitita
Siku hizi ni lucky sai mamita hizo choche siezi pita
Mi nakukana mi ni Peter, mi huchafua street ni litter

[Lexxy Yung]
Came from nothing men to be a thing
Used to be a bro-code so I know the life
Used to sleep empty stomach so najua life
Free my fam, pedi that's my dream

You hate now buda kula shit
We be running streets buda si ndo choko
1996 we used to be a local
Sema kuwa shash siku hizi si malocal 
Twatekwa na macougar tuko tu za kisonko
Ladies say we dark twataste kama choco
Yummy yummy yum namlamba tukimiko
Unleash... nadish tu mahongo
Nadish tu mahongo

[Chorus - Miracle Baby]
Na hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na auwezi tu do (Yeah)

Hauwezi tu do (Yeah )
Hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Hauwezi tu do (Yeah)

Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka (Yeah)

Watch Video

About Uwezi Tu Do

Album : Uwezi Tu Do (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 18 , 2020

More SAILORS Lyrics

SAILORS
SAILORS
SAILORS

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl