Kulewa Kuchuchuma Lyrics
Kulewa Kuchuchuma Lyrics by SAILORS
Uiiii, munene hatuna ubaya
Fungua hata ka ni dirisha tukunywe
Oka! Hii maisha ni ka kuni inataka mtu apasue
Oka!
Ati banger hii nayo itawakang'a
Stagger tunastagger tukimanga
Funga hii kileso na dimanga
Shikonde utabebwa na upepo
Ati pombe, tunakunywa jo mapepo
Ah tubonge tunashindaga kwa temple
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa
Ah! Kulewa kuchuchumaa
Kata kemba ni uanze gukuruma
Ah! Aii uanze gukuruma
Ka husimami uitisha mutirima
Ah! Uitishe mutirima
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
[Masilver]
Leta mi napenda gukuruma
Ka ni chrome nakeshea tu irima
Zikishika man sinanga madrama
Silver Boy mi napenda chuchuma
Chuchuma, chu chu chu chumaaa
Chuchuma, chu chu chu chumaaa
You and you, we na we
Unapenda kukata waba
Kulewa aisee kukata waba
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa
Ah! Kulewa kuchuchumaa
Kata kemba ni uanze gukuruma
Ah! Aii uanze gukuruma
Ka husimami uitisha mutirima
Ah! Uitishe mutirima
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
[Lexxy Yung]
Zangu ni makolo si maslim
Mi napenda big big si maslim
Haga haga big big si kaslim
Kana rieng lasting ni mwalim
Tukifika baze baze wanatii
Wanavua bra wanashow matii
Kwani we buda hujatii
Vua short tuwashow mnatii
Inua chapanisha kitu bonda
Mi huchapanisha hadi inakonda
Na mastingo za kwigonya anaconda
Tricky tricky heavy heavy tukirounda
Tricky tricky heavy heavy tukirounda
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa
Ah! Kulewa kuchuchumaa
Kata kemba ni uanze gukuruma
Ah! Aii uanze gukuruma
Ka husimami uitisha mutirima
Ah! Uitishe mutirima
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
[Shalkido]
Skia kuna bash ni kunyua guthua
Eeh kunyua guthua
Skia kuna bash ni kunyua guthua
Eeh kunyua guthua
Ucio nie Shalkido mnyama kinga
Ndoka nginya haha kuwamota thing
Hii ni bukla imejaa mawazimu
Na hii ni party imejaa mawazimu
Oneni Tina ako na shida
Na ako na inati kuliko shida
Na gikuyu ningumuminda
Na kikamba ni ngumuvinda
Njetereire aume kahinda
Tondu gwake ni tugatinda
Haka ni kamechi mi nitashinda
Walahi Ngai mi nitashinda
Ati banger hii nayo itawakang'a
Stagger tunastagger tukimanga
Funga hii kileso na dimanga
Shikonde utabebwa na upepo
Ati pombe, tunakunywa jo mapepo
Ah tubonge tunashindaga kwa temple
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa
Ah! Kulewa kuchuchumaa
Kata kemba ni uanze gukuruma
Ah! Aii uanze gukuruma
Ka husimami uitisha mutirima
Ah! Uitishe mutirima
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Ni kulewa kuchuchuma (Kulewa kuchuchuma)
Watch Video
About Kulewa Kuchuchuma
More SAILORS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl