SAILORS Berita  cover image

Berita Lyrics

Berita Lyrics by SAILORS


Berita jina mpya na imepenya mitaa
Nitawaweka rada mtumie tu venye inafaa
Skiza lines mi natry tu kuwaweka kwa taa
Taa taa taa taa

Ikus ikijipa mi nitafika bei
Na izigi ki histo isomwe kipongi
Ka rekless bubu ubakie ka hauongei
Ikorogeshe ipe pace ithadoke kama mei
Eeh ithadoke kama mei

Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua

Jing jong am the chong kingkong
107 am the mighty king kong
All I do is win and the mighty kong
Rada tei hizo tei chafu
Si waroro wanadai tu ororo
Wanadai wathombothwe na uroro
Ka kiembe sema tu kiwake roro
Akikam thru' we cheza ka Agwero
Si hawa mangoko si hudai wainame
Kuwakang kang ju ya maukame
First of all mi hupenda big mummy
Wale wamejaa riang ni uzame

Berita jina mpya na imepenya mitaa
Nitawaweka rada mtumie tu venye inafaa
Skiza lines mi natry tu kuwaweka kwa taa
Taa taa taa taa

Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua

Shosho Nyakairo unadai tuindo
Na ako na kiraiko na ananuka piko
Nina hapa pairo msupa sura haiko
Unaringa toto na Mary we ni poko

Nashangaa vipi ndani cheza na panty
Napiga flash nakatika na your auntie
Nampiga ndole tu mbele ya umati
Tukifika keja twasesana kwa kabati
Kakiweza tuileak mpaka ikuwe ngwati
Ki kang kang ile design ya wanati
Arukido, ah rukido

Berita jina mpya na imepenya mitaa
Nitawaweka rada mtumie tu venye inafaa
Skiza lines mi natry tu kuwaweka kwa taa
Taa taa taa taa

Ikus ikijipa mi nitafika bei
Na izigi ki histo isomwe kipongi
Ka rekless bubu ubakie ka hauongei
Ikorogeshe ipe pace ithadoke kama mei
Eeh ithadoke kama mei

Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua

Berita ngoko wee hebu chachisha
Bingirisha we ubaki ukiwatisha
Hio zigo i swear nitafikisha
Ntaifinya nare mi nitawakisha
Dem wako ako na joto hajaibonywa
Ashakurada we ni mbleina hujaitonyia
Ntakateka nikatie kwa Gathenya
Kidemethe nitakutoka useme Seiya

Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua

Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua
Berita, aah wee berichua

Aah wee berichua
Aah wee berichua
Aah wee berichua
Aah wee berichua

Watch Video

About Berita

Album : Berita (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Black Market Records
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 10 , 2021

More SAILORS Lyrics

SAILORS
SAILORS
SAILORS

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl