BREEDER LW Hey Miss  cover image

Hey Miss Lyrics

Hey Miss Lyrics by BREEDER LW


Hey miss
Napendanga hizo ma dimples
(Ayo yoh Metro suka doba)

Hey miss napendanga hizo dimples, mmh
Ukismile kuna shine we ni mfine, na pia
Una vibe siezi ignore, ay
Walking style ni ya star, hizo hips ziki swing
Na jegi ziki jiggle, ayy

We ndio perfect match kila kitu una deserve
I've been hoping uko single, ay
I've been hoping uko single
Hey miss napendanga hizo dimples, mmh
Ukismile kuna shine we ni mfine, na pia

Una vibe siezi ignore, ay
Walking style ni ya star, hizo hips ziki swing
Na jegi ziki jiggle, ayy
We ndio perfect match kila kitu una deserve
I've been hoping uko single, ay
I've been hoping uko single

I've been hopping uko single
Vile daily we hunimada hii ni urembo sio legal
Hawa ma shawty hamko equal
We umejaza haga nyuma wamejaza views tiktok
Many men pon your inbox
Lakini we unadai Breeder hauna time ya hizo sweet talk
Nakutaka for a reason

You know we can do it big tunaeza tesa kanairo
Uh, standard yako gani ni bad bitch level
Stay on your lane, hujai cause trouble
Twende mahali flani unaeza pata space ample
We can fall in love, tunaeza cheza tapo
I mean brikicho, can you whine for the dough
Number 1 kwa hii scene baby boo, you da bomb

Hii ni pillow talk but I put it in a song
Body ushaitone, piga mini ndani thong
Fanya wakumbuke you the baddest
Unachachisha ni ka umepull up na siren
I'm not the type kufuatana na kipusa

But right about now me ntadaka ukirusha
Oohh! Unasema ati ni tight like a needle eye
Leo basi me ntajua how true is the lie
Me ndio kiti ya dereva when you need a ride
Everything boujee na ni kila time

Hey miss napendanga hizo dimples, mmh
Ukismile kuna shine we ni mfine, na pia
Una vibe siezi ignore, ay
Walking style ni ya star, hizo hips ziki swing
Na jegi ziki jiggle, ayy

We ndio perfect match kila kitu una deserve
I've been hoping uko single, ay
I've been hoping uko single
Hey miss napendanga hizo dimples, mmh
Ukismile kuna shine we ni mfine, na pia

Una vibe siezi ignore, ay
Walking style ni ya star, hizo hips ziki swing
Na jegi ziki jiggle, ayy
We ndio perfect match kila kitu una deserve
I've been hoping uko single, ay
I've been hoping uko single

Naku serenade, tuki celebrate
Round 1, 2, 3 alafu tuendeleee
Acha Bazenga aku papasase pole pole
I like your style, we ringa usiogope, ahh
Uko qualified kufanya hii quarantine
Ibambe sana kwa mneti uko verified
Ma ex wako wakitry kuku chomea
We unaenda live unawasho you don't care

From head to your toe, umeiva for sure
Take snap any angle ni lazima ita glow
Deep in the endz me ni gwiji the don
Ntakufikisha Dago uone vile tuligrow, ah
Naeza ku spoil, unadai nini urgent
Ka ni tights camel toe ita surface
Ntafanya vitu, utabaki na suspense
Beast mode magizani si ni madness

Ohhh! Unasema ati ni tight like a needle eye
Leo me ntajua how true is the lie
Me ndio kiti ya dereva when you need a ride
Everything boujee na ni kila time

Hey miss napendanga hizo ma dimples
Pia una vibe siezi, ignore
Hips zikiswing na jegi ziki, jiggle
I've been hoping uko, single
I've been hoping uko, single

Watch Video

About Hey Miss

Album : Bazenga Mentality (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 18 , 2021

More lyrics from Bazenga Mentality album

More BREEDER LW Lyrics

BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl