Pattern Lyrics by BREEDER LW


Baby unani, baby unanibamba
Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern
Ju kila design unabanjuka unanibamba
Naeza guza, eyo Metro suka doba

Baby unani,  baby unani, baby unanibamba
Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern

Kipusa ukibanjuka mi hubaki nimezubaa
Kwanza jo ukishika ukuta na ukiwhine vile inafaa
We ni softi na mang'aa we ni soshi we ni star
We ni msafi kila saa, dunga croptop bila bra

Titik tiktok ebu zungusha na ustop
Chali yako analalisha ndo inafanya unanistalk
Si ati nini si umeivisha nitakuingiza ndani box
Twende chini katikati then unipeleke to the top

Huh just a minute, nasema just a minute
Kam nikupe kitu itafanya ukuwe chizi
Amini usiamini sikuangi chali hivihivi
Naeza gharamika we sema unataka nini

Ka ni shots, pewa mzinga pewa
Chaser never, after lewa
Tamashani hakuna time ya kulemewa
Na umetoa mpaka ndula kwani we ni cinderella

Baby unani,  baby unani, baby unanibamba
Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern

[Ndovu Kuu]
Songa na tembo fanya tembo inakazana
Mrembo ushaiskia tembo inabebana na banana
Babe ukiniita kwako sidelay nafika jana
Boy wako akule vako hii relay haiwezi fanana

Kuna vile nashangaa ukienda chini siamini
Ju kwanza vile unakaa mi sielewi uko na nini
Umeniteka nimezubaa na mi sijui ka ni majini
Nakufuata very loyal ni kama  mi ni wa dini

Riswa ni mashetani ni ka umenilaani
Riswa, kitabu gani Biblia ama Kurani
Piswa, nagutuana na figa ni mtihani
Ni ka naugua mapepo na we ndo kuhani

Kuna mtu, kuna mtu leo analala ndani
Si unajua kuna vitu, kuna vitu mbili haziachani
Ndovu kuu na msitu, na msitu si unajua ni gani
Aki walai mbio za nyani leo zinaishia jangwani

Baby unani,  baby unani, baby unanibamba
Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern

[Trio Mio]
Songa na hio pattern
Songa na hio tempo
Haga ndo inamatter
Sura achia warembo

Design ya kamati, utadhani ni msee wa mjengo
Nguvu za cassava umezoea watu wa potato
Mundu stamina stamina mwaga jasho kwanini
Chupa zamina zamina ka Shakilla na mimi
Mi si ndwanzi na sikuangi na kujijocha lakini
Naeza tandika tandika hata kokoto na chini aii

Usiwache ngozi ya rangi ikudanganye
Lightskin but nacheza kama Ngolo Kante
Nijipate nikilalisha haijai happen
Machette lazima istay sharpen

Niko ready kukatakata madranya
Nafanya vile nataka
Nasanya madem manyanga vile paka husakanya panya
Mafala mnang'ang'ana kuchanga mshike guarana
Si ni madon Perion tunamwanganga

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Ju kila design unabanjuka inanimada
Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha

Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern
Songa na hio, songa na hio
Songa na hio pattern

Watch Video

About Pattern

Album : Pattern (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 10 , 2021

More BREEDER LW Lyrics

BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl