BREEDER LW Acha Iende cover image

Acha Iende Lyrics

Acha Iende Lyrics by BREEDER LW


Huyo chali si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende
(Eyo Metro suka doba)
Acha ie, acha ie, acha iende

Acha ie, acha ie, acha iende
Ka hio form si ya ganji acha iende
Ka huyo chali si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende

Acha ie, acha ie, acha iende
Ka hio form si ya ganji acha iende
Ka huyo gal si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende

24/7 si hukuwanga lit
Leo kupurura Westie kesho ni East
Dem anaboo, block delete
Chali anaboo press block delete

Siwezi shika tenje na new number ndo inavuta
Mi huenda supa ka nina deni ya duka
Ushaipata partner na upuzi kwa nyumba
We mwambie hivi akiwa kejani ananuna

Ah si uende, si uende
Nakupea ratings zinafanya umee pembe
Kwanza last warning kabla uende
Next time don't call me kutoa nyege

Ah wazuri ni wengi na nina lugha
Mlango iko wazi kanyaga kubwa
Ufala peleka mbali hususan
Na ukiskia unawashwa sana paka Kaluma

Kuondokea ngori mi huvanish ka jini
Leta monkey biz unaeza tolewa hadi upini
Na usilete risto sijui nini au nini
Ukweli usinilipa hapa ni mjini

Ukikosa kazi after interview
Acha iende next time pia itacome thru'
Patience hufanya maajabu
Baraka zingine hurudi zikiwa times 2

Acha ie, acha ie, acha iende
Ka hio form si ya ganji acha iende
Ka huyo chali si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende

Acha ie, acha ie, acha iende
Ka hio form si ya ganji acha iende
Ka huyo gal si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende

Uko wera na we hushughulika daily
Reporting on time work rate haina wengi
Endmonth na imefika unangoja senti
Hujalipwa miezi tatu na unaambiwa keep waiting
Ah ufala acha iende hio ni shughli haiezi
Heri niache iende ka nacheki unaniseti
Niligrow na ngumu na Softa si Pepsi
Kwa grao tuko topless hatukuwa na jezi

Acha iende kama mali si safi
Acha iende ka ni morio mtiaji
Acha iende ka inakupeaga pressure
Life ni fupi sana kuishi kama unateseka

Nawapa vidonge more hit pon di desk
Ukikosa ujanja ni noma kuflex
Siri jo ni moja usiwai fuata ex
Ujinga acha iende na usonge ahead

Jacom nina majaber kem kem
Baroda mi napiga ka najua inapay well
Hatukosani bei na my clientele
Napenda mbaby ana tako na anadress well

Ulikosa kazi after interview
Acha iende next time pia itacome thru' (Inshallah)
Patience hufanya maajabu
Baraka zingine hurudi zikiwa times 2

Acha ie, acha ie, acha iende
Ka hio form si ya ganji acha iende
Ka huyo chali si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende

Acha ie, acha ie, acha iende
Ka hio form si ya ganji acha iende
Ka huyo gal si mtamu peremende
Acha ie, acha ie, acha iende

Watch Video

About Acha Iende

Album : Acha Iende (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 TK
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 15 , 2021

More BREEDER LW Lyrics

BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl