Now You Know Lyrics by KHALIGRAPH JONES


Aah !  Woo !
Mambo vipi everybody
See right about now
You are rocking with the best
O.G, Roma, Stamina, let’s Go!

Yo! Si mwingine Mister Bonaventure hapaa
Straight toka bongo mpaka Kisumu Naivasha
Nairobi, Mombassa kila kitu guda guda
Na muda umefika sasa kutuma posa kwa huddah
Kucheka cheka na ma snitch sitaki
Wameshachezea block kwenye simu hawanipati
Bize natua show collabo o za nchi za kati
Nashangaa unaenidisi na huna ata mchongo wa laki

Mademu wamuonge nani
Labda bando la chup hata mkisema sisimani
Freshi sinaga kituo
Mjini ni kupambana utoke jasho sio dananda
Ukileta stori unaboa nashauri ukajenge banda
Nlizaliwa na 2PAC , hmm ! 2 PAC wa bongo
Sema nkanyimwa six packs na kichawani sinsa dongo
Mkuyati wala vumbi la kongo
Mademu wanasema smart yani fresh
Haina zongo ok
Baba ngidaa baba yaro
Rostam collabo na baba yao
Uwezo wao style zao zinapimwa na fikra zao
So waache watudisi ila sisi sio size yao

[CHORUS]
Uh! Nairobi to Dar
Tuko masaa uliza mitaa kwa mabosi (eeh)
Hapa tu kazi vile inafaa
OG collabo na Rostam
Haki ya nani now you know
(Haki ya nani now you know)
Na na na na na now you know
(Na na na na na now you know)
Haki ya nani now you know (na na na na)
Now you know (na na na na now you know)

Nawachaguliwa akina nani
Ndio aa hii wana worry
Tume pull up na mandaii na ma lorry
Zima Jah ma O.G killers
Swalai mpaka shori usikaze sign kutuchambua joh
Ki saida karoli
They call be Mugabe zile pande za Dodoma
Hata Zimbabwe nina stamina ya Roma
That means I can’t fall niko firm kisimiti  khali mi I stand tall
juu ya fans na si kiki
Keep it on top vile wa super wana stare
They know I got it all mi ni kaduka joh I swear
Wanapenda ipe lugha nawapea
I don’t do cheap record houoni chupa za Bellaire

In case am honest too
Ten verse ndo nachana busy grinding mpaka
Shati iko na jasho
Ya jana (ihoee)
You wanna top izo vako achana
I’ve been rapping toka enzi za Vasco da Gama
Mi ni mchaf toka zama
Niko class moja blunder
Kwa derassa ya mziki mi nika burst door kwa maana
Kila wakati nachora  nawacha black bloard alama
Kama Kastramu  am bad boh nab ado nasmama
Ukumbe itafika toka mtama mayolo
Kama guest that’s why nikipiga buzz wanafollow
Am on a kong we umekaa tu ago ndoro
Am a star mi napaa mpaka Dar hadi Moro

[CHORUS]
Nairobi to Dar
Tuko masaa uliza mitaa
Kwa mabosi oh (hee)
Hapa tu kazi vile inafaa
OG collabo na Rostam (hee)
Haki ya nani now you know
(haki ya nani now you know)
Na na na  now you know
(nanana now you know
Haki ya nani now you know
 (na na na now you know , na na  na now you know)

Aaah Na si Zimbabwe tuu
Navuka border kwa mkaburu
Ukiona analeta ubabe ujue hawapendi niwe huru
Na nna nyata paka Kenyatta (Uhuru)
Natekenya pa kwa pa so piga nduru
Na hii bashi nawachinja you guys I wanna marry
Mnataka kupiga binja huku mnapiga gidheri
(Hawataweza)
Hata saa mbovu kuna mda inasema
Ukweli mbona mnatoka na povu
Mmepanic na mmefeli

Mi mkatoliki nalindwa na damu ya Kristo
Leo Papa Jones Umekutana na Papa Benedicto
So niloge Kisumu nikuloge Mombasa
Ujue mimba ni sumu muheshimu mgumba na tasa
(Watu wa Tanzania)
Maafande hawaanaga peace niko Kenya
nko tungi nala mrungi na polisi
Usi download pornigraph kwa wifi ya msikiti
Hey Khaligraph juu niko chonjo na niko fiti
Na sina mistari mikali ju tu niliandika
Nkafurahi ila naflow mbaya kama jiko yakipiga chafya
Ukiji chocha mi na leta mashauzi na
Tongwe ndo kocha karibu Tanga tuvute pumzi

Nairobi to Dar
Tuko masaa uliza mitaa
Kwa mabosi oh (hee)
Hapa tu kazi vile inafaa
OG collabo na Rostam (hee)
Haki ya nani now you know
(haki ya nani now you know)
Na na na  now you know
(nanana now you know
Haki ya nani now you know
(Na na na now you know , na na  na now you know)

Watch Video

About Now You Know

Album : Now You Know (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : May 11 , 2018

More KHALIGRAPH JONES Lyrics

KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl