Imebaki Tu Wewe Lyrics
Imebaki Tu Wewe Lyrics by MWANA MTULE
Only love, only love with you
I wanna share with my love
Am longing to share with my love
(Alexis on the Beat)
Mungu amenifunza kupenda
Amenituma Mungu nikupende we
Nisikutese nisikucheze
Ameniruhusu kuishi na wewe
Yes mpenzi
Kwenye shida na raha
Atatulinda sote (Amesema hivyo)
Tusiwe na papara
Atatuongoza milele
Nipende nikupende, tupendane
Atujazie baraka tele
Nipende nikupende, tupendane
Mungu atujazie baraka tele
Usiogope ukadhani mi ni fisi
Mimi ni tunda lako
Kutoka kwake Mwenyezi
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Pole sana kwa kuumizwa moyo
Wewe wangu mpenzi
Ila hio isifanye uwe mchoyo
Wa mapenzi share na mimi
Kesho mtafute mama wa Moh
Akuibie kasiri ka mapenzi
Nami nimtafute DJ Moh
Aniibie kasiri ka mapenzi
Nipende nikupende, tupendane
Atujazie baraka tele
Nipende nikupende, tupendane
Mungu atujazie baraka tele
Usiogope ukadhani mi ni fisi
Mimi ni tunda lako
Kutoka kwake Mwenyezi
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Love is a beautiful thing
Whoever finds a wife, finds a good thing
Usiniruke unikatae, nimekuchagua wewe
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Mpenzi, mpenzi
Imebaki tu wewe kukubali
Ametukubalia Mwenyezi
Weka signature yako twende mbali
Watch Video
About Imebaki Tu Wewe
More MWANA MTULE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl