ELANI Kaa Mbali cover image

Kaa Mbali Lyrics

Kaa Mbali Lyrics by ELANI


Je unasikia ninapokuombea
Ninavyokingojea
Mikononi mwangu, yeah
Je wakumbuka tulipotoka
Nilipokuona na macho yangu

Naomba atachoma
Naomba atavunja moyo wako mara saba
Akose msamaha, aseme amechoka
Afanye penzi lenu nalo liwe taka taka
Unikumbuke

Mbali mbali mbali mbali
Mbali mbali mbali eh nana
Mbali mbali mbali eh nana
Mbali mbali mbalo eh nana (Eh nana)

Mbali mbali mbali eh nana
Mbali mbali mbali eh
Kama hunipendi kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami

Sitaki urafiki kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami
Kama hunitaki kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami

Sitaki urafiki kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami
Mbali mbali mbali eh

Watu wengine wala hawataki ujuaji
Ulidhani bila wewe jua halilali
Ukanikera nafsi

Mi nawe tulifagilia Tanzania
Penzi letu lilirun dunia
Utashinda jichocha na mabandia

Na najua atachoma
Najua atavunja moyo wako mara saba
Akose msamaha, naomba atachoka
Alifanye penzi lenu nalo liwe taka taka
Unikumbuke

Mbali mbali mbali mba
Mbali mbali mbali eh nana
Mbali mbali mbali eh nana
Eh nana

Mbala mbali mbali eh nana
Mbali mbali mbali beh
Kama hunipendi kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami

Sitaki urafiki kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami
Kama hunitaki kaa mbali nami
Kaa mbali nami, kaa mbali nami

Sitaki urafiki kaa mbali nami
Kaa mbali nami
Mbali mbali mbali beh

Naomba atachoma
Naomba atavunja moyo wako mara saba
Mmmmmmmh, aseme amechoka
Afanye penzi lenu nalo liwe taka taka

Haha, mbali mbali mbali beh
Kama hunitaki kaa mbali nami,
Kaa mbali nami (mbali mbali mbali eh nana)
Sitaki urafiki kaa mbali nami

Kaa mbali nami (mbali mbali eh nana)
Kama hunitaki kaa mbali nami,
Kaa mbali nami (mbali mbali mbali eh nana)
Sitaki urafiki kaa mbali nami,
Kaa mbali nami (mbali mbali mbali eh nana)
Mbali mbali mbali beh

Watch Video

About Kaa Mbali

Album : Colours of Love (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 30 , 2020

More lyrics from Colours of Love album

More ELANI Lyrics

ELANI
ELANI
ELANI
ELANI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl