My Life Story Lyrics
My Life Story Lyrics by MWANA MTULE
I wanna dedicate this song
To all street kids out there
Never loose hope never give up
Mungu yu nasi, Mungu yu nasi
Long time ago Mungu aliniletea malaika
Kwa maisha yangu
Nilikuwanga chokoch, wazazi waliniabandon
Sijui zaidi ya hapo
Na kabla sijawapa story
R.I.P kwa mr Constant Wangu
He did a good job
Mungu alimtuma kwa street akapatana nami
Akanihesabu kama mtoto wake
Kuna msemo ati ni wabaya
Mama wa kambo, baba wa kambo
Hio nakataa maana Mungu
Amenilea nao, nimeishi nao
My loving mama Juana
My grandma Grace Elena
My late father Constant Wangudi
Nawapenda sana
My loving mama Juana
My grandma Grace Elena
My late father Constant Wangudi
Nawapenda sana
Asante, kwa Mungu baba amesimama nami
Asante, kwa wazazi wangu wageni kunilea mimi
Asante, kwa Mungu baba amesimama nami
Asante, kwa wazazi wangu wageni kunilea mimi
This is my life story
This is my life story
My story
Tell me your life story
Tell me your life story
Your life story
Nampenda shosho hata kama alinifukuza home
Nampenda shosho she is my angel from God
Kilichofanya anifukuze
Ni pale mama na baba walipokosana
Hasira ikampanda akaniambia niondoke
Hata hivyo nilikuwa badboy
Kwa shosho nilikuwa michosho
Nilikuwa dingo wa kuiba makuku
Baada ya hapo Mungu alinileta Nairobi
Akanifunza kazi yake
Akaishi na mimi mitaani eeyah
Nilikuwaga streetboy, Nairobi
Nilikuwaga streetboy, Mombasani
Nilikuwaga streetboy, Uganda
Nilikuwaga streetboy, Eldoret
This is my life story
This is my life story
My story
Tell me your life story
Tell me your life story
Your life story
This is my life story
This is my life story
My story
Tell me your life story
Tell me your life story
Your life story
Asante, kwa Mungu baba amesimama nami
Asante, kwa wazazi wangu wageni kunilea mimi
Watch Video
About My Life Story
More MWANA MTULE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl