BREEDER LW Bio na Chem cover image

Bio na Chem Lyrics

Bio na Chem Lyrics by BREEDER LW


Msupa aliguza chuma akazirai 
Ju hajazoea vitu genje
Amezoea hawa ma wannabe
Wao hudishi pizza si sembe

Omena yangu ikuje dry fry, ongeza mala na kunde
Niki step ni ma nike why, siezi teleza nidunde
Wack rapper rudi shule, nina ma fan hadi bunge
Bazenga daddii ni jina biggie, lakini flow ni silly

Niko na diva na tunavibe, na tuko ndani ya duvet
Me huzoza fully tangu 205, Zlatan bado akiwa Juve
Warazi wapigwe ma headie za chest
Me ndio Zidane hadi refa ana vex
Ka ni chuo nilipassingi test after teo nilichomanga desk
We bado uko preps, me naruka fence
Niko mahali na uni me napewa head
Hii ndio life ya nutcase, mmh, fuck bio na chem

Ka ni funky ni colombo na ma lofus, ndani ya school bus
Siku hizi kwa fom ni kikoro, kikiwashwa kiuzunguka
Nimejipin na ma condom, ju waroro wao hujipa
Na sitaki ma bani wani follow ju ata me si Jesus

F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem

F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem

Kwa assembly sina nyong'inyo
Kwa computer lab naona nginyo
Kwa dh niko na hotpot
Kwa staffroom ni viboko
Sus ni mbili kwa mwezi
Mwakenya, rarua kamusi
Ati good morning class, niko kwa dorm nadoz na mask
Uh, nani hajafanya assignment
Bazenga Daddii ako absent
Ni P.E na mode ako daro

Chocha bellringer afanye mambo
Hakuna wiki sina scandal h
Hadi ma piri wanajua niko stubborn
Lakini after ngoma na omollo
Ngoma na benzo ika hit, me ni star boy
Lakini saa hii niko kwa map
Ni ka nimechorwa kwa atlas
Princi alisema me ni failure
Lakini kuomoka ni sheria
Niko kati kati kama radius

Heri ata nigeuke alien
Kwa moon hakuna pano
Huko jupiter hakuna syllabus
8-4-4 Ni mzigo, ki degree bila jobo
Ama nigeuka roro nitinge hat trick na machobo
Anyways F bio na chem
Chuo ni torture, chuo ni hell
Hii ndio life ya nut case, uh

F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem

F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem
F bio na chem, F bio na chem

Watch Video

About Bio na Chem

Album : Bazenga Mentality (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 18 , 2021

More lyrics from Bazenga Mentality album

More BREEDER LW Lyrics

BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl