YOUNG KILLER A New Girlfriend Story cover image

A New Girlfriend Story Lyrics

A New Girlfriend Story Lyrics by YOUNG KILLER


Yoh da pro, "Yoh wassup bro"
Inakuwaje my G, 'Dah freshi mbona usiku sana mzee'
Sorry sana mwanangu nina kipengele
Huyu Dem wangu mpya mshikaji wangu ni changamoto
'Ah we what's happening?'
Tunaeza tukaongea kidogo hapa? 'Yeah for sure' Okey

Huyu dem kila siku ana ball
Mtu flani wa usiku ndoto zake ni kuishi Singapore
Ana shepu na vimacho vya gololi
Na akicheza anasweti utasema msukuma ama toroli
Anazimia sana mapicha ni kusnap na kupost
Yaani ku-like na ku-comment daddy
Ana chuchu saa sita, kifuani amekatika
Anapopita maboys wote OMG

Alivyoniona akawaka ila mwisho alizima
Bana niliomba mechi akanipatia mtima
Yaani niliomba nusu akanipatia nzima
Safari nikianzia Mwanza naimalizia China

Kila party anafungua champagne
Usipokwenda complain
Yaani home hapakaliki no gain
Allday but no pain no gain

Nikajifunza akawa akinipa ki-chain
Nampika mpaka naunguza
Namuosha nasuuza, tani napunguza 
Na nam-care kama mgonjwa unaeza sema naunguza
Marashi namnyunyuza, umbea ananijuza
Nachochea huku ni speedi ikiwa mia napunguza

Juzi kavurugwa na mashosti
Walimsnap wakaposti
Akiwa ndani ya dera hajajikoki
Kavaa ndala kabeba na pochi

Wigi alisahau kwenye kochi
Katoka ka roboti
Kweli nampenda ananipenda
Yuko tayari kwenda napokwenda
Ila siwezi kwenda anapokwenda

Ni beki mzuri tatizo golini na machenga
Mtoto wa geti na kila club member
Kinacho nichanganya ni muda anaopatikana
Namkuta amechoka sana alafu anasingizia gym

Asa mwanangu jana kuna kosa kalifanya
Na ule muda wa kuvutana mi nikakimbilia simu yake
Nmekuta vitu vingi vya ajabu huwezi hata ukahesabu
Inaweza ikawa ndo sababu ya mikosi
Na taabu na sikumpatia adhabu sikumshatakia kwa babu
Wala sijaambia wanangu wala boss

Nmekuta anasex na trainer wake, SMS ya designer wake
Na stress akalale kwake kam miss
Amfuate kama ni mkongo apake
Kama ni shombo akate, yaani akifika ni mate na ma-kiss

Najua ni ujinga na upuzi
Ujana na ujuzi inabidi atambue haya mapenzi
Anapenda sana movie, nimejaza ndani 
Ila kutulia ndo hawezi

'Ah sa stori bro...'
'Kwani usiku uko wapi..'
'...'

'Hello beib'
Ukweli ni kwamba ushamba umwamba
Najua kila mbuzi anakula urefu wa kamba
Najua mpaka mbuzi anayekula tunda na ganda
Najua kuwa juzi ulikuwa casino na Amber

Wembamba wa reli ila treni inapita
Unadanga unakwenda Tanga na Pipa
Pedeshe wanakkita, na mnapiga mapicha
Kuuliza mi ni nani unasema you're my sister

Okey my sister, unachamba kwa kulia kushoto
Mbona unaswim maji ya ugoko, unaniletea utoto
Unanirudia asubuhi na vikopo
Umejaza mkorogo na vipocho pocho

Ulipotoka moto moto kwa watu makatili
Ulivyokuwa mwepesi utadhani table ya pili
Unanijaza mastress muda wote unasafiri
Hayo ndio mapenzi au kuchoshana akili

Huh ni neno moja nalotaka boo
Unanipenda hunipendi basi nijue moja tu
Kuliko nalia na mapenzi daily
Naskia juzi unajiachia na sele
Na wakija kwako wanaweka pesa mbele
Kama sina hadhi niambie boo
Mbona unaniletea maradhi na kunitesa juu
Kunikondesha tu, kunikomesha tu
Na kunichoresha juu

'Beiby I'm so sorry'
'Siwezi kurudia tena please nisamehe'

Watch Video

About A New Girlfriend Story

Album : A New Girlfriend Story (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 01 , 2020

More YOUNG KILLER Lyrics

YOUNG KILLER
YOUNG KILLER
YOUNG KILLER

Comments ( 1 )

.
Carrlz 2020-07-27 18:18:15

Like it



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl