Ni Hapo Lyrics
Ni Hapo Lyrics by LADY JAYDEE
Ni kwako ni kwangu ni wewe my love
Si wao, si wale, si yule sina
Ni sisi, sisi ni hapa, ni kule nia
Ni hapo tu my love
I will spend all my life
Ni hapo tu my love
Spending all my days
Hapo tu my love
I will spend all my life
Hapo tu my love
Spending all my days
Watatusamehe sana
Watatuona na maringo
Ila watusamehe sana
Tunapenda sana
Hivyo watusamehe sana
Tumalize toa single
Watu watusamehe sana
Sanaa aah
Ni hapo, ni hapo
Usiposikiliza marafiki hawapo
Ni hapo, ni hapo
Usipozingatia maadui hawapo
Ni hapo, ni hapo
Usipofikiria maumivu hayapo
Ni hapo, ni hapo
Tusikilizane mama ni mimi na we hapo
Mi ni mali yako mami say no more
Rough road niweke lami say no more
Mapema niwe nyumbani say no more
Chugani yaani ibiza na mi say no more
Kitaani yaani kimbiza na mi say no more
Furaha sio starehe mitungi mikasi
Hakika usalama wa nafsi hatuli bata tunakula hapa
Kila nafasi ya pumzi tunayopata
Ni hapo tu my love
I will spend all my life
Ni hapo tu my love
Spending all my days
Hapo tu my love
I will spend all my life
Hapo tu my love
Spending all my days
Ni kwako ni kwangu ni wewe my love
Si wao, si wale, si yule sina
Ni sisi, sisi ni hapa, ni kule nia
Watatusamehe sana
Watatuona na maringo
Ila watusamehe sana
Tunapenda sana
Hivyo watusamehe sana
Tumalize toa single
Watu watusamehe sana
Sanaa aah
Watch Video
About Ni Hapo
More LADY JAYDEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl