Bebi Bebi (KIZUNGU ZUNGU) Lyrics
Bebi Bebi (KIZUNGU ZUNGU) Lyrics by WILLY PAUL
Mapenzi kizungu zungu
Oooh mapenzi kizungu zungu
Teddy b
Oooh my heart oooh, ameichukua eeeh
My focus oooh, ameichukua eeeh
Mapenzi yalimchanganya daudi yeiii
Mapenzi kamchanganya fahamu uuuh
Inabidi nimwombe mwenyezi jalali kwa moyo wa ndani(oooh)
Coz toto si toto, ju animaliza toto na sio utoto (yeah eeh)
Amechanganya wathii, nairobi city, mpaka mombasani
I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)
Bebi bebi bebi(na nguvu yangu)
Bebi bebi bebi(na maisha yangu)
Bebi bebi bebi(kizungu zungu)
Bebi bebi bebi(my number 1 queen)
Oooh jameni
Sijamwona kama yeye maishani
Ana roho ya dhahabu na adabu(oooh)
Huyu bebi yuko conc and sweet
Upishi wake pia sawasawa sweet
Akitembea kila kitu ding ding
Anapopita kila mtu ding ding
Akitembea kila kitu ding ding
Anapopita kila mtu ding ding
Oooh my heart oooh, ameichukua eeeh
My focus oooh, ameichukua eeeh
Nitapiga dua, kwake maulana eeh akulinde mama
Nitazidi piga dua,kwake maulana eeh akulinde mama
I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)
Bebi bebi bebi(na nguvu yangu)
Bebi bebi bebi(na maisha yangu)
Bebi bebi bebi(kizungu zungu)
Bebi bebi bebi(my number 1 queen)
Bebi bebi bebi
I know me kijana mdogo
Na nko na fear nisifanye mistake ya
Mapenzi kizungu zungu
Na nko na fear nisifanye mistake ya... Aaah
Mmmh mapadre wanapatwa kizungu zungu
Masheikh wanapata kizungu zungu
Na mimi poze naogopa zungu(eeeh aaah)
Nimefall in love
Nimefall in love
Nimefall in love
I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)
Bebi bebi bebi(na nguvu yangu)
Bebi bebi bebi(na maisha yangu)
Bebi bebi bebi(kizungu zungu)
Bebi bebi bebi(my number 1 queen)
Oooh call her bebi bebi ....
Bebi bebi ....
Bebi bebi ....
Yeye ndo moyo wangu
Ndo nguvu yangu
Oooh kizungu zungu
My heart oooh, ameichukua oooh
My focus oooh, ameichukua oooh
Watch Video
About Bebi Bebi (KIZUNGU ZUNGU)
More WILLY PAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl