KO KENYA Chora cover image

Chora Lyrics

Chora Lyrics by KO KENYA


Usije kwenye shimo penzi letu lizame
Nitablame
Like father like son
-- usijali kwetu 001 (Oh nah nah nah)

Kipi hakiwezekani 
Niko ready nikope pikipiki kwa jirani
Marekani kuna mabishoo
Maana kila mwanadada ananichekea

If they don't understand they never know
Wasije wakakerewa tunachoongea
Baby girl live and die you me in Afrika
Jirembeshe jidai na kadhalika

Ukiwaona masai kurukaruka, usishangae zoea
Mahaba ya kimombo, mtoto we ni chombo
Bingiri bingiri jikunje kama kamongo
Ebu lifungue fundo, nilifumbue fumbo
Mabukiji, mabumbumbu koleza midundo nyundo

Chora Jina Langu jimbi (Chora)
Hebu Liandike Moyoni (Chora)
Tena Ugamishe Na Gundi (Chora)
Usiku Niote Ndotoni (Chora)

Chora Jina Langu jimbi (Chora)
Hebu Liandike Moyoni (Chora)
Tena Ugamishe Na Gundi (Chora)
Usiku Niote Ndotoni (Chora)

Niko Pwani ndio maana penzi limefua dafu
Busu mia moja kwa lips na shavu
Mapenzi yamenipiga KO but it's okay
It's okay ju naskia raha tu

Nakufeel vile we hunifeel I say
Hii chemistry ni real na sio the same
Hata after hizi doh makiki na fame
Jua mapenzi yangu kwako bado kem kem

East to West na mahaba ni ya 01
Femi One ndio main hakuna another one
Abadan fore sitakusare
White dress kando ya beach tukimarry
Na ukipiga magoti nitasema I do
Pale caption Insta story my boo
Hii ni one love baby hakuna ma part two
Jina lako nimechora kwa roho kitattoo

Chora Jina Langu jimbi (Chora)
Hebu Liandike Moyoni (Chora)
Tena Ugamishe Na Gundi (Chora)
Usiku Niote Ndotoni (Chora)

Chora Jina Langu jimbi (Chora)
Hebu Liandike Moyoni (Chora)
Tena Ugamishe Na Gundi (Chora)
Usiku Niote Ndotoni (Chora)

Mahaba ya kimombo, mtoto we ni chombo
Bingiri bingiri jikunje kama kamongo
Ebu lifungue fundo, nilifumbue fumbo
Mabukiji, mabumbumbu koleza midundo nyundo

Chora Jina Langu jimbi (Chora)
Hebu Liandike Moyoni (Chora)
Tena Ugamishe Na Gundi (Chora)
Usiku Niote Ndotoni (Chora)

Chora Jina Langu jimbi (Chora)
Hebu Liandike Moyoni (Chora)
Tena Ugamishe Na Gundi (Chora)
Usiku Niote Ndotoni (Chora)

 


About Chora

Album : Chora (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 20 , 2021

More KO KENYA Lyrics

KO KENYA
KO KENYA
KO KENYA

Comments ( 0 )

No Comment yet


Kelxfy

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl