Wakati Sahihi Lyrics
...
Wakati Sahihi Lyrics by FITZON DAI
Mungu ninasababu ya kukuimba Leo na utukufu wako
Yote ulio tenda na
Yote uliosema yanazidi kuweko
Nimeona Kila Jambo na majira yake kwa makusudi yako
Wakati wakuzaliwa, wakati wa kukufa ni makusudi yako
Wakati wa kupanda,wakati wakuvuna ni makusudi yako
Wakati wa kulia, wakati wa kucheka ni makusudi yako
Wakati nanyamaza, wakati ninanena ni makusudi yako
Wakati ninapenda,wakati nachukia ni makusudi yako
Usidharau wakati wa Mungu ni wakati sahihi (wakati sahi)
Uwenda Leo umekosa mlo,ni wakati sahihi (Wakati sahi)
Ulipata kazi Leo umesimamishwa ni wakati sahihi (Wakati sahi)
Uwenda ndoa Yako imefika mwisho,niwakati sahihi (wakati sahi)
Umewapoteza ndungu na marafiki ni wakati sahihi (wakati sahi)
Mashida zakuandama,usikate tamaa ni wakati sahihi ( wakati sahi)
Wakati Sahihi (wakati sahi)
Ni wakati sahihi (wakati sahi)
Wakati Sahihi (wakati sahi)
Ni wakati sahihi (wakati sahi)
Kila kitu amekifanya Mungu kwa Wakati wake
Tena karama ya Mungu Kila Mtu awe na siku yake
Kama ni shida,binadamu anashida viumbe wanashida
Kama ni kifo, binadamu anakufa viumbe wanakufa
Kama nichuki,Binadamu anachuki viumbe wanachuki
Kama ni vita
Binadamu wanavita viumbe wanavita
Kama kupenda Binadamu anapenda,viumbe wanapenda
Kama kusifu, binadamu anasifu Viumbe wanasifu
Usidharau wakati wa Mungu ni wakati sahihi (wakati sahi)
Uwenda Leo umekosa mlo,ni wakati sahihi (Wakati sahi)
Ulipata kazi Leo umesimamishwa ni wakati sahihi (Wakati sahi)
Uwenda ndoa Yako imefika mwisho,niwakati sahihi (wakati sahi)
Umewapoteza ndungu na marafiki ni wakati sahihi (wakati sahi)
Mashida zakuandama,usikate tamaa ni wakati sahihi ( wakati sahi)
Wakati Sahihi (wakati sahi)
Ni wakati sahihi (wakati sahi)
Wakati Sahihi (wakati sahi)
Ni wakati sahihi (wakati sahi)
Watch Video
About Wakati Sahihi
More FITZON DAI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl