Donda Lyrics
Donda Lyrics by FITZON DAI
Oooh nanananaaa...aah
Oooh nanananaaa...aah
Oooh nanananaaa...aah
Fitzon dai
Wapo wengi wenye DONDA..aaaaah
Huku saa sita imegongaa....aaaaah
Ibilisi amenisongaaa...aaaah
Nikiwapa watabongaaa..aaaah
Maneno yao kisirani,huwa yananichoma mama
Kutaka kuniweka Chini, nami sitaki hunyonge beiby
Wanaongana usiku n mchana hili tuachane beiby
Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama

Naitaji upendo wa dhati.. Ila ukiniacha nilewe
Matatizo yani hurtii.. Ooh ma bebi nielewee

Wanaringa wataki niwe nawee..iyo ni Ndoto
Wakati mapenzi yangu nawee..wanaitazamia ghetto

Kama safari kwangu mawee...iyo ni bevoo
Na sitaki kipenzi kingine beiby, ila niwe
Maisha yangu..ni wewe Kipenzi changu ni wewe
Muhudumu wangu ni wewe
Doctor wangu ni wewe
Naitaji upendo wa dhati.. Ila ukiniacha nilewe
Matatizo yani hurtii.. Ooh ma bebi nielewee
Naitaji upendo wa dhati.. Ila ukiniacha nilewe
Matatizo yani hurtii.. Ooh ma bebi nielewee
Maneno yao kisirani, huwa yananichoma mama
Kutaka kuniweka Chini, huwa mishemishe mama
Wanaongana usiku na mchana,hili tuachane beiby
Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama aa
Yeaaaaah
Fitzon Dai Beiby
CHANGAMKA STARZ music
Back
Big up Panya Mtu
For discovered me
Fitzon Dai
Holla
Naitaji upendo wa dhati.. Ila ukiniacha nilewe
Matatizo yani hurtii.. Ooh ma bebi nielewee
Naitaji upendo wa dhati.. Ila ukiniacha nilewe
Matatizo yani hurtii.. Ooh ma bebi nielewee
Oooh ma bebi nielewee
Oooh ma bebi nielewee
Oooh ma bebi nielewee
Oooh ma bebi nielewee
Watch Video
About Donda
More FITZON DAI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl