Sleki Lyrics
Sleki Lyrics by REKLES
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doh
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doh
One Two
Ka we ni hater unajifanya cheki fuck you
Ju ukiniuliza mbona sipendi kukaa na watu
Ma hypocrite staki stori
Mi hutembeaga sana saa za curfew
King kwa game na ishi one man kwa palace
Ukidai fame hakikisha wana kuhitaji kwa market
Ju ka una jina na hauna kitu
Umejichocha kwa gram we ni star
Ndani ya mat uki sororwa unaona aibu ah
Hii keki ni kubwa nadai yote sta gawa
Eh mi ni mchoyo buda pia ukitaka weka lawama
Wapi ma flower ju hizi kaburi zinakaa mbaya
Mi ndo the baddest motherfucker
Hawa marapper wanagwaya
Ah come slow mbona una pupa
Mbona una cum mbio na manzi yako anakaa ka chura
Buda shika skio na uwache kujifanya unajua
Ambia baby akam karibu na ajifanye anafua
Aya lovie dovie yo mi ni a man di galis
Hapa hatuoni soap tucheki mangwati
Bae ka unadai form mi ndo unitafute
Ju kawaida sijali ata ukuje ugeuka kupe aah
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doh
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doh
Sleki sleki unaeza bakishwa na cops
Sleki unaeza badilishwa ukue corpse
Sleki gizani upatwe na mse ako jobs
Utokwe tenhe na ma ndenge upewe crocs
Cheki cheki sielewi ka aihusu doh
Cheki ka si ganji manze siku cheki call
Ati tangu niomoke manze sijai pitia baze
Bro after ni omoke ndio mlianza kuniita baze
Saka biz, saka biz, saka biz uache guil
Follow dreams, follow deams
Follow dreams acha kufollow Shakilla
Ssaru nayo ana geuka stripper ju ya views
Nka aliambiwa ndio aomoke laizima tuone boobs
So (Leo) ako na (Meja) problems
Kujifanya stripper na nika bado aoni progress
Huh ari ana taste kama fanta bambucha
Bitch auna taste heri nikule kucha, anyway
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doh
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doh
Watch Video
About Sleki
More REKLES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl