Iko Bie Lyrics by VDJ JONES


Wakali wao yao yao
Rada safi
Hahaha, si unajua tu ni nani
Si unajua ni genje ni mbwaya

Niko kwa jam ndo nakam
Ameweza ninabonga na madam
Wapi nare zilipuke ki-Saddam
Ati, eh eh
(Mavo on the Beat)

Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie
Ati ah
Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie

Wakali wao yao yao
Rada safi
Hahaha, si unajua tu ni nani
Si unajua ni genje ni mbwaya

Niko kwa jam ndo nakam
Ameweza ninabonga na madam
Wapi nare zilipuke ki-Saddam
Ati, eh eh
(Mavo on the Beat)

Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie
Ati ah
Iko bie, rada rada iko bie
Eh iko bie, ati iende sana iko bie

Sinaga presha, Tish nacheza tu na pesa
Ona sasa leo ni kukesha
Mashash leo nimekam tu na mapedi kwa club
Acha tuslow tushow flexing kwa floor floor
Yaani tuflow ki pro
Mmmh mmekawia, I mean here 
Ju mimi ndio cargo vitu nimebeba ziko bie

Zimeninasa zimenichocha aki niko irie
Si ni kidudu kukinyanya macho niko bie
Inachangamsha brain tena sana mdie
Ngeus akianika leo naingia kindie

Anadai kufunga duka nijipige pige Valon
Chura ni chura ata upitie Salon
Mbele na nyuma nyeusi kama nylon
Nakachachishia home juu kwa balcon

Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie
Ati ah
Iko bie, rada rada iko bie
Eh iko bie, ati iende sana iko bie

Badgirl niko bie na disaster jo
Nipige lighter ju napenda marasta yo
Nichore saba waraushe tududu jo
Ni hitilafu genge ni Laife bro

Na maji chafu kwa balke sio inje bro
Tunawabeba ki-casket si kifo bro
Mapekejeng kuzamisha tu mamjulubeng
Kwa sofa orea uniseti tu kama chain

Ge-gengetone inatake over vi Dj Jones
Wasanii wanaomoka wanamake doh
Niko bie kwa hivyo leta makondiko
Nina bullet kwa pistol niko na libido

Washa shada shikisha ka jaba
Mi ndio sponyo wako joo achana na wababa
Mate nakupea ata ka uko na homa
Si ati sikupost ni whatsapp ina goma

Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie
Ati ah
Iko bie, rada rada iko bie
Eh iko bie, ati iende sana iko bie

Mi bazeng ninataka tu mayeng
Nikibonga tu na sheng 
Nikitweng nawabeng
Na kwa mbosho ni maweng

Nimetulia na geng tukiwasha tu ma 'ssh'
Tukikata tu makeg, ju ka weather kako fine
Na siku tu iko bie
Cheki wasupa wamekam lazima nipatiwe
Kwanza Njeri, Sharon na Mwende wa nie
Wanatambua Kim Swat kwa bed ka fathe

Dem anaringa si atekwe 
Baadae ukimtoka achekwe
Kwekwe ngoko ni shikwekwe
Kama we ni fala usiwekwe

Ichape ichape ilale icheke
Toka toka teke, toa mpaka nyege
Senge nishonelee kitenge
Finya kama sembe na ngoma za wagenge
Ziwashe kidogo kwa kinenge 
Zishike upeperuke kama ndege

Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie
Ati ah
Iko bie, rada rada iko bie
Eh iko bie, ati iende sana iko bie

Iko bie, rada safi iko bie
Iko bie, fiti sana iko bie
Ati ah
Iko bie, rada rada iko bie
Eh iko bie, ati iende sana iko bie

Watch Video

About Iko Bie

Album : Iko Bie (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Black Market Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 30 , 2020

More VDJ JONES Lyrics

VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl