Sio Sana Lyrics
Sio Sana Lyrics by LOVY JAY
Kidogo kidogo na sio sana
Piga bila cover buda utachoma nyama
Ni moto ni moto na sio sana
Kakipanda heat nakamwagia waba
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Ngozi alisema ikidunda usanii badox
Vuva akasema ikikutoka ni Pokot
Sponyo jo alitakaga buda tubebe
Cheki chuna amenidedi na anataka gondo
Ju anataka stingo mingi alicheki kwa nopo
Ah cheki tarimbo jo aliskizia kwa thong
Na si nilipiga tifi bien si alimoan
A, E, I, O, U
Mavo jo ni ngori buda cheki jo ulipuz
Hawa digi ni godosho, doba zote hauwezi doz
Doba ni biggy si tunachezaga 10 10
Doba ni biggy si tunachezaga 10 10
Kidogo kidogo na sio sana
Piga bila cover buda utachoma nyama
Ni moto ni moto na sio sana
Kakipanda heat nakamwagia waba
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Mami yoh, achana na ma yoh
Nataka nikifika nishike manyonyo
Yoh naskia una minyoo
Naskia boy wako hajaachanga mafinyo eh
Nina dudu nataka kutoa kutu
Nina njugu na leo sina mtu
Kajuang'a kako rieng' kitu safi mjulubeng
Nusa kwanza ni kasafi ndo ukapeng
Nikirungu kiko ndani ya modo
Ni kisafi ama ni kimsitu
Coke, nataka ulambe Coke
Choke na figa ni ya Coke
Kidogo kidogo na sio sana
Piga bila cover buda utachoma nyama
Ni moto ni moto na sio sana
Kakipanda heat nakamwagia waba
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Nahitaji kiferrari buda bila maswali
Eti mi huwa sijali nina mbogi fulani
Nikisumbua jirani, nduru nduru gizani
Cheza chini jamaa ni tu kwa keja huko home
Kula miti ki - Ngong tuko mi na Jano
Nimemshow aguze chini ka anacheza bano
Magoti nachokoza msupa apige pano
Kiasi kiasi, msupa bas bas
Chupa glass ana nice ass
Na uko fly baby leo ni dance
Tiktok, Tiktok pandisia pandisia
Tiktok, Tiktok karibia karibia
Kidogo kidogo na sio sana
Piga bila cover buda utachoma nyama
Ni moto ni moto na sio sana
Kakipanda heat nakamwagia waba
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Kidogo kidogo na sio sana
Ni moto ni moto na sio sana
Watch Video
About Sio Sana
More LOVY JAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl