Kata Tenje Lyrics
Kata Tenje Lyrics by PSYCHO
Kata tenje Lyrics
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
Lamba lolo bado watoto
Na tumekuja tu kimangoto
Tumedunga bado mangoto
Sport pesa kushida ndoto
Si mnajua hao watoto
Sunday bado ni mamboto
Kanashika na msokoto
Cheki keja ipige koto
Piga mboto si huiita mboto
tumepiga molooku moto
Ukinidai nisake Ghetto
Kama Vybz nipate Portmore
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
Ukicheki kuna watoto
Wamebeba mahaga nono
Wamekuja kusaka lolo
Cheki juu na si kuna joto
Ukishin nyaru kula mbosho
Kata tenje ni chuma moto
Tumekill ata na Washosho
Kingta,Sejo Iano
Ongeza Nduati bado ni moto
Kata tenje sio muchezo
Tunakemea hadi mapepo
Ka una ngori nipate ghetto
Kwa hii maneno
Hawa mazuzu hawana Lebo (hawanaaa)
Watajuaje si ndo kunego
Kwenye lyrics na mamboto
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
Kata tenje ndio mtindo
Tumekuja tukiwa ritho
Uko na mdomo na uko single
Cheza chini wacha maringo
Shika nare washa kikolo
Hatutambui tabia za ki ngono
Ka umeshindwa na hii maneno
Tafuta Bible ukule neno
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
(...)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
(mmmh hmmm)
Kata tenje , Kata tenje
Ka huwezani achana nayo
Tunashine ju ya Papa God ooh
23 mpaka kule Bondo
Kata Tenje, Kata Tenje
Kata Tenje, Kata Tenje
Kata Tenje, Kata Tenje
Watch Video
About Kata Tenje
More PSYCHO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl