Straight Outta Gamboshi (Freestyle) Lyrics
Straight Outta Gamboshi (Freestyle) Lyrics by NIKKI MBISHI
What am I gonna do
Watoto wazuri na bikini wana-dive kwenye pool
Knife kwenye tool Box
I don't fight with the fools
Shine twende juu boss I don't mind beef with you
Inevitable ku change MaPrado, Range
Bado washenzi wanao ku envy ni wengi
Hawakupendi hawakupi show wanakuweka pending
Biashara na hisia kamwe haviendi
It's all about Benji's
Nitabaki kuwa Rap phenomenon my momma knows
Mnataka lugha this how the grammar goes (It manners you)
Switch zaidi ya Switcher Baba
Badala ya featuring nyie mnamuomba picha Casper
Ficha passport una aibisha Taifa rasta
Mkalisha watoto Babysitter's Master
Step ya game up and man up talk to ya neighbor
Mwambie chenga mbili asijione top juu ya Neymar
One mistake ONE DROP ka" The Wailers
Na hii ni hahususi kwa Player Haters and fakers
WhenI pull up na wanangu inakuwa Wenge BCBG
Ninja napita mbele ya camera CCTV
Na sionekani kama walio mteka Mo Dewji
More credits ziende kwa Jah Allah Akbar
Wallah sikubali lazima kieleweke
Acha mapepe Tunza Misingi jiunge na Nyeke
Hawajui kiasi gani umeteseka under pressure
Utasikia "Tumekuchoka na beats zako za Ngwesa
Ngoma Nagwa mchomeeni boma Jaguar
Vigeugeu hawa Simba ndo anao wakanyaga
Bwaga nyanga shusha marimba
Brother chunga marinda
Na hao mapapaa wanaokupa mandinga
Ukinipa mkwanja nakunja nachimba
Mwajuma unaringa na shule ulifukuzwa kwa mimba
Na rhumba inapiga wajuba na ukishtuka umezikwa
Mzimamzima bila cheti cha kifo check mawindo
Pale mlipoficha nimegusa
Sio Bongo Movie tena nigga picha ni Medusa
Preacher nimeshushwa na scripture kama Musa
Stim kali niko TEACHER's ita pusha
I'm goddamn happy
My face on front page it's nothing
Pus*y niggas ain't ready to fuss me
Cuss me but never touch me this ain't no Jasmeen
Issey Miyake courtesy my real niggas trusting
Hamnisomi lugha gongana
Nguvu ya mamba kumayi Wushu Mapanga Muay Thai
Bush unapanda tu chai huuzi unasanda kudai
Mbuzi mikwanja ndo sign useless ya kwamba hufai
UNJU
Watch Video
About Straight Outta Gamboshi (Freestyle)
More NIKKI MBISHI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl