Kiutani Lyrics
Kiutani Lyrics by IBRAH NATION
Churururu rarararaa
Churururu rarararaa
Imeanza kama utani, kama hatujuani
Nikiwa varandani huko nje unasuka majirani
Sa nisilale ndani, hatuulizani
Huu mwisho niliuona zamani nikajipa imani
Yaani kama utani tumefika huku
Tusi yangu huoni babe unaniacha mtupu
Niseme neno gani acha nibaki bubu
Siamini hii ni end of the book
Leo mi mbaya, mi mbaya, mbaya mi
Sifai sawa, ii sawa eeh
Leo mi mbaya, mi mbaya, mbaya mi
Sifai sawa, ii sawa eeh
Kiutani utani, utani utani
Kiutani utani, utani utani
Kiutani utani, utani utani
Kiutani utani, utani utani
Churururu rarararaa
Churururu rarararaa
Mbona kiurahisi kiurahisi mama
Au uliwaza zamani ukashindwa kunichana
Au kuna mwizi mwizi labda
Amevunja pango letu umemruhusu abebe zaga
Mbona sielewi, pombe mi silewi
Msosi haupenyi mwezangu uko freshi
Tumeachana wiki moja ushapata mwingine
Hivi vioja wacheni mi nizime
Leo mi mbaya, mi mbaya, mbaya mi
Sifai sawa, ii sawa eeh
Leo mi mbaya, mi mbaya, mbaya mi
Sifai sawa, ii sawa eeh
Kiutani utani, utani utani
Kiutani utani, utani utani
Kiutani utani, utani utani
Kiutani utani, utani utani
Churururu rarararaa
Churururu rarararaa
Watch Video
About Kiutani
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl