Enyi Watumishi Lyrics
Enyi Watumishi Lyrics by NEEMA GOSPEL CHOIR
Enyi watumishi, Enyi wafuasi wa Yesu
Mnao vichukua vyombo vya Bwana Mungu
Iweni safi, lweni safi
Enyi watumishi, Enyi wafuasi wa Yesu
Mnao vichukua vyombo vya Bwana Mungu
Iweni safi, lweni safi
Enyi watumishi, Enyi wafuasi wa Yesu
Mnao vichukua vyombo vya Bwana Mungu
Iweni safi, lweni safi
Nendeni nendenizenu , Tokeni msiguse kitukichafu
Tokeni kati yake, Nendeni, nendeni
Nendeni nendenizenu , Tokeni msiguse kitukichafu
Tokeni kati yake, Nendeni, nendeni
Maana hamtatoka kwa haraka
Hamtakwenda kwa kukimbia
Bwana mungu wenu wa mbingu
Atawatangulia mbele
Mungu wa israeli atawafuata nyuma
Roho Mtakatifu hukaa kwa watakatifu
Waliopondeka mioyo na wanyenyekevu
Roho Mtakatifu hukaa kwa watakatifu
Waliopondeka mioyo na wanyenyekevu
Hao huwalinda kwake wako salama
Watajazwa busara
Mungu atatukuzwa
Watajazwa busara
Mungu atatukuzwa
Watajazwa busara
Mungu atatukuzwa
Nendeni nendeni zenu
Tokeni msiguse kitu kichafu
Tokeni kati yake
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Nendeni, nendeni
Watch Video
About Enyi Watumishi
More NEEMA GOSPEL CHOIR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl