
Ukiniita Lyrics
...
Ukiniita Lyrics by KUSAH
Olololoooh
ni kusah tena
Cukie
Nilichelewa wapi
kuyapata mapenzi mpaka moyo ukaweka doa
Kila nilompenda ,Alinikomoa
Nikachukia kupenda ,nikajitoa (onanaah)
Nimepata mapenzi, na nafsi yangu imepoa
Makando kando yote nimeyatoa
Natamani tuanze vikao vya ndoa (omamamaa)
Huyu wa sasa niko radhi aniroge
Niko radhi anifanye lolote
Niko radhi anifungie nisitoke
Nibaki ndani
Penzi lake nimelewa ni pombe, anipea hasubiri niombe
Me ndio wa kwanza kukivunja kikombe
Niwape habari
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Napenda ukiniita, my love
Ukiniita Asali
Ukiniita wa ubavunii
Eti mahabuba
Napenda ukiniita, my love
Ukiniita Asali
Ukiniita wa ubavunii
Eti mahabuba
Vinakshi nakshi, na sukari ya pendo
Baby huu upendo, watakimbiza upepo (mamamaah)
Nina vidonda, niliumizwa na penzi
Nikakataa nikachukia mapenzi
Nashukuru nimepata mpenzi
Wakufa na kuzikana na yeye
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Napenda ukiniita, my love
Ukiniita Asali
Ukiniita wa ubavunii
Eti mahabuba
Watch Video
About Ukiniita
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl