
Rewind Lyrics
...
Rewind Lyrics by KUSAH
Babe really definition
Inataka attention
Nataka nikuwaze
Nataka nikupende
Hadi wapate questions
Wewe ndio wangu , (oh my boo)
Chochote unachotaka, yes I do
Basi kanyaga break iko kwa mguu
Tusije pata ajali tuta juu (juu juu)
We sema chochote me pesa ninayo (oyo yo yo)
Ukitaka chochote namba unayo (oyo yo yo)
We tamba popote na visa unayo (oy yo yo)
Ukitaka chochote namba unayo oh oh
Fanya unarewind rewind wee (eeeh)
Unazungusha antena (aajeee)
Kama una rewind rewind antena (eeeh)
Unazungusha antena (aajeee)
Rewind come back again selekta
Huu ndo ule ufundi ambao huwez upata VETA
We ni mzuri mpaka vinywa vya maHaters ah
They give you compliments ah
Sio hata confidential aswear confidential
We ndo namba 1 yan 9 kwenye 10
Mtoto umejaliwa zaidi ya parking ya Lugumi
Mayweather, michezo ya fedha kwenye ngumi
We kiboko, we nyangumi, we ni moto, we ni kuni
Wakiku Compare itakua dharau mana we hufanani
Ligi kubwa unawaletea sunami
unawarudisha chekechea form 1
Wanajidai ni special kumbe mtumba wa grade 1
The way you rewind back n forth mah
You remind me kwa Ramaphosa
Antenna nikikukosa weh
Basi tena ntampata nani
Na tena natamani nikuone, mapemaa oh oh oh
Omotola Ojolade, oh oh
Ulivo mzuri kila upande oh oh
Na urefu wa Dayna Nyange
Oh ma baby she is the baddest ah
We sema chochote me pesa ninayo (oyo yo yo)
Ukitaka chochote namba unayo (oyo yo yo)
We tamba popote na visa unayo (oyo yo yo)
Ukitaka chochote namba unayo oh oh
Fanya unarewind rewind wee (eeeh)
Unazungusha antena (aajeee)
Kama una rewind rewind antena (eeeh)
Unazungusha antena (aajeee)
Watch Video
About Rewind
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl