Usinisumbue Lyrics

GIGY MONEY Tanzanie | Bongo Flava,

Usinisumbue Lyrics


Msoto mkali bado unataka kunitoa roho
Na nimeishi Dar kuwa humu humu kama Mario
Sku hizi snitches wananiita sista duu
Ninang'aa hatari wao macho juu

Madharau dharau huwa sipendi
Kama pesa ni zangu wacha nispendi
Nitakula bata mwanzo mwisho wa wikendi
Hizo simu simu zako kila saa mi sipenzi

Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue

Maneno shombo mlisema kitambo
Mlidharau umadharau
Sku hizi mi nadrive crown lambo
Msisahau washika dau

Nilipoanza hustle mlinipiga singi
Nowadays naona simu mingi
Nikipokea ongea vitu vya msingi
Ati 'Gigy uko wapi? nikufuate sikupati'

Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue

Yeah aah..
Usinisumbue

Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue
Usinisumbue! Mi staki unisumbue

Leave a Comment