My Lyrics
My Lyrics by GIGY MONEY
Kama funguo na kitasa
Yani kwa tope nishanasa eeh
Ntakupa kile unachotaka
My baby punguza haraka
Honey unajua vile unajua
Vile unajua nakupenda
Usije sumbua tulize mua
Utamu nina upenda
Unipeleke kwa baba na mama
You don’t lie
Ukinishaka mwili inazama
Me nafurahi
Me na wewe mbaka kiama, wallah
Tena wakuzikana
Unipeleke kwa baba na mama
You don’t lie
Ukinishaka mwili inazama
Me nafurahi
Me na wewe mbaka kiama, wallah
Tena wakuzikana
Till I die
My my my
Nakupenda my my
My my my
Nakupenda my my
My my my
Nakupenda my my
My my my
Mwenzio Nakupenda my my
Na mi na wenge
Ukiwasha moto
Nakua lege
Kichanga mtoto
Bwana nibebe
Unipitishe chocho
Bonge la bebe
Mwaga maokoto eeh
Unipeleke kwa baba na mama
Unipeleke kwa baba na mama
You don’t lie
Ukinishaka mwili inazama
Me nafurahi
Me na wewe mbaka kiama, wallah
Tena wakuzikana
Unipeleke kwa baba na mama
You don’t lie
Ukinishaka mwili inazama
Me nafurahi
Me na wewe mbaka kiama, wallah
Tena wakuzikana
Till I die
My my my
Nakupenda my my
My my my
Nakupenda my my
My my my
Nakupenda my my
My my my
Mwenzio Nakupenda my my
Watch Video
About My
More GIGY MONEY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl